SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
Ajira Mpya katika sekta ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, tuliingia kazini na kuripoti Agosti lakini mpaka sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutolipwa mshahara wetu wa mwezi wa nane pamoja na mwezi wa tisa.
Tulipojaribu kwenda kuulizia makao makuu ya halmashauri...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
mishahara
sekta
sekta ya elimu
septemba
serengeti
7 days Ndutu Serengeti migration safari package in Tanzania
A 7-day Ndutu and Serengeti migration safari in Tanzania typically costs between $2,100 and $5,500+ USD per person, depending on whether you choose budget camping, mid-range tented camps, or luxury lodges. The safari combines...
Hivi karibuni kumekuwepo na vitendo vya ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaofanywa na Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Serengeti.
Ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaondoa haki za watumishi na kusababisha uonevu pamoja na manyanyaso.
1...
The 5-day Ndutu calving season safari package takes you to the southern Serengeti and Ngorongoro ecosystem between December and March to witness over 8,000 wildebeest calves born daily.
The Ndutu Calving Season is a remarkable period of the annual Great Migration, when large concentrations of...
This 7 days Serengeti Migration private safari package is designed to maximize your chances of seeing the Great Wildebeest Migration, while also giving you the opportunity to encounter the Big Five and enjoy breathtaking African landscapes.
A 7-day private safari packages in Tanzania focus on...
Mbunge wa nchini Norway, Himanshu Gulati ametembelea nchini Tanzania na kupata nafasi ya kukutana na Wanasiasa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Akielezea...
Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua.
Leo hii unaweza kupita barabarani ukakuta Kilimanjaro Company Ltd, Serengeti Traders, Simba Enterprises, Safari Logistics, Ngorongoro Supplies na majina mengine mengi yenye uzito mkubwa kwa taifa.
Kwangu, hili si suala la kawaida. Naona...
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman?
Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu.
Akanijibu...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na...
kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti.
watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya hapo husafiri kwa magari au kukodi ndege ndogo hadi mbugani.
Lakini wameona haitoshi. Wanajenga...
Wakenya wanajua uwanja wa Serengeti ukijengwa tunaenda kuwapiga gap kubwa wanalijua hilo
Hivi sasa wakenya wameshaanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa karibu na Masai Mara, hii ni mbuga iliyoungana na Serengeti, kwa lugha iliyorahisishwa ni serengeti inayoendelea upande wa Kenya
Lakini...
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga...
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
Serikali inapaswa kuliangazia kwa karibu zoezi la uandikishaji wa wanufaika wa TASAF katika Kata ya Nyambureti, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, hususan katika vijiji vya Gusuhi, Nyambureti na Maburi.
Kuna madai ya kuwepo kwa udanganyifu mkubwa katika mchakato huo, jambo linalozua maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.