Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges.
Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji.
Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview.
Msikilize Peter Madeleka, Wakili
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line.
Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe.
Hivyo msiwasikilize hawa wauaji.
Madilu anamuandaa mwanawe kuwa Rais, nyinyi wa kwenu kuwa boda boda, msikubali ujinga huu.
Tutende haki na kila kitu...
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.
Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.
Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
Hawa Wambulu wa Tanzania si ni ndugu moja na wa Ethiopia? Kwanini wao hawawezi kukimbia kama wenzao wa Ethiopia watutoe kimasomaso na sisi Tanzania kama taifa kimataifa?!
Tanzania inabidi tutafute mchezo hata mmoja tunaouweza wa kutupa jina duniani na sisi kama majirani zetu, kimataifa sisi ni...
Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia.
POLENI SANA.
Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu.
Mshana Jr
min -me
ngara23
Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala.
Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma.
Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya.
Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo...
Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi.
Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
Hamjambo!
1. Ni Makosa kuamini watu wa nje wanaweza kutupenda kuliko tunavyopendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ni kosa.
2. Nitazungumza kisaikolojia alafu nitachanganya na siasa kidogo. Ambapo kote kunahusu mahusiano baina ya watu ndani ya jamii au taifa na kimataifa.
3. Kisaikolojia binadamu...
Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika.
1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali linabaki: Nchi hii ni ya nani?
Kwa nini tunaishi kama wageni katika ardhi tuliyoirithi kwa damu na...
Embu tufundishane sheria zinasemaje.
Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa.
Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao.
Hata vyama vya siasa...
Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
1. Vituo vya kura
2. Sheli za mafuta
Leo naongelea eneo la pili, "Fire/Fuel is the key"
Ndugu wa Tanzania ikitokea mko karibu na kituo cha mafuta na polisi wameamua kutumia nguvu nyingi, kimbilieni eneo la Sheli ya mafuta kwa sababu hawawezi kurusha silaha yoyote ya moto, wakirusha Sheli...
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo
Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.