yaondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dstv yaondoa channel ya Emmanule Tv ya TB Joshua

    Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024. Uamuzi huo unafuatia...
  2. Ex Spy

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  3. Chachu Ombara

    Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  4. BARD AI

    Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...
  5. U

    CRDB Bank yaondoa rasmi Riba ya Mkopo ya 13% na Sasa ni 16%

    Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%. Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
  6. JanguKamaJangu

    Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
  7. benzemah

    Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  8. Replica

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi. Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
  9. BARD AI

    Kenya yaondoa ulazima wa kutumia SGR kusafirisha mizigo kutoka Mombasa

    Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni. Hii ni baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kutoa notisi ya kufutilia mbali marufuku ya...
  10. J

    TARURA yaondoa kero ya wananchi Same kwa kufungua barabara mpya

    Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo. Akizungumza mbele...
  11. Linguistic

    SRC ya Kenya Yaondoa posho za vikao vya Wabunge.

    Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni . . Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna wabunge 19 wasiokuwa wanachama wa chama siasa wamepokea posho na Per diem. . Wakenya Hii ikoje kwenu
  12. Analogia Malenga

    Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  13. Analogia Malenga

    #COVID19 Kenya yaondoa masharti yaliyowekwa kupambana na Corona

    Wizara ya Afya ya Kenya imeondoa agizo la ulazima wa nchi nzima kuvaa barakoa ikiwa ni mwongozo uliorekebishwa na kutolewa hii leo. Katika agizo hilo jipya, Kagwe amesema karantini ya lazima, na kutengwa kwa kesi zilizothibitishwa za Covid-19 kumesimamishwa mara moja, na kuongeza kuwa wagonjwa...
  14. Replica

    DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

    Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
  15. Analogia Malenga

    Kenya yaondoa marufuku ya safari za ndege kutoka Dubai

    Wasafiri kutoka Dubai wataruhusiwa kuingia nchini Kenya kuanzia leo baada ya nchi hiyo kuondoa marufuku iliyokuwa imeweka kwa ndege zote zinazoingia na za abiria kutoka taifa hilo la Mashariki ya Kati wiki mbili zilizopita. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya (KCAA)...
Back
Top Bottom