Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi.
Mikoa yenye watu walio...
Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu.
Hili ni swali siyo tamko (declaration).
Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena:
Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya.
Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society .
Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income.
Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote.
Huu ni ujinga, kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa katika umri wowote, ukiwa Africa au nchi ambazo...
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano
kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni
Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi?
Kama...
Ni kweli kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kusomea udaktari wengi wao huwa na ufaulu mkubwa/mzuri wa masomo yote hasa ya sayansi kwa kifupi ni wale ambao kichwani zipo ama ni wale waliokuwa vipanga huko masekondari,ndipo ukienda vyuo vya afya hasa kwa zamani ambapo vyuo vya afya vilikuwa viwili tu...
Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje?
Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa...
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa...
Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu .
Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A .
Kulingana na Kiongozi M ...
Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
Yes nasubilia kuona tajiri akijirekodo clip akisema hadi sasa katumia bilion ngapi maana aishiwi maneno chupri chupri nyingi sana hakuna usajili wowote wa maana wamefanya hadi sasa.
Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri.
Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa huduma kwenye taasisi yako, ndio watakao chimba madini n.k, na wewe kuweza kuingiza pesa na hatimaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.