A shinai (竹刀) is a Japanese sword typically made of bamboo used for practice and competition in kendo. Shinai are also used in other martial arts, but may be styled differently from kendo shinai, and represented with different characters. The light, soft wood used in a shinai distinguishes it from other wooden swords such as a bokken, which is generally made of heavier, sturdier wood.
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Wala msijiulize kwanini kilaza Kingai anasema atafurahi endapo Lissu atakutwa na hatia.
Niwaambieni kitu kimoja kuwa waliofungua mashtaka kwa niaba ya jamhuri na mawakili wa jamhuri wakishinda kesi waliyofungua huwa ni utaratibu wao kupandishwa vyeo na kupewa tuzo maalum kama motisha.
Ndiyo...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika:
"Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa."
Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili.
Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
"Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin.
Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi.
Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali...
Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai.
Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka.
Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
"Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi. Ukifanya leo kosa linai ukidhani mjanja haujakamatwa leo basi kesho hautakamatwa lakini si...
Wahanga 12 wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wamewasilisha malalamiko ya kihistoria ya jinai nchini Kenya, wakiwashutumu wanachama wa kundi la RSF kwa kutenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Inaaminika kuwa hii ndiyo kesi ya kwanza ya aina yake chini ya sheria za...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
Hii si kwa Mafwele pekee ni ujumbe kwa wote wanaofikiri mkono wa sheria huwa unakimbiwa kwa kuwa na cheo serikalini.
Mafwele alimteka Sativa akadhani amemkomoa, sasa ataishi maisha ya nguchiro ya kujifichaficha.
CC kwa Government Officials wote including Mkuu wa gereza la Ukonga unaye collude...
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.
Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.
Ndio...
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo...
Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?
Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda.
Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na faini ya dirham 5,000 (AED 5,000).
Tangazo hilo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kudhibiti mwenendo...
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali.
Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi.
Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja.
Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa?
Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.