Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"

“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika.

“Nitoe mfano iliwahi kutokea huko nyuma nikiwa Katibu Mkuu CHADEMA, nililetewa taarifa za mtu wangu anaitwa Joseph, huyu alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, alitekwa saa sita usiku. Kesho yake saa sita mchana nikahitisha mkutano na waandishi wa habari nikaisema sana Serikali na Usalama wa Taifa.

“Saa nane mchana siku hiyohiyo Joseph akapatikana, alikutwa ametupwa maeneo ya Ununio ameumia sana usoni.

“Mwezi mmoja baadaye kijana wangu wa Red Brigade anakuja kwangu kuniambia yeye ndiye aliongoza kukosi cha kwenda kumteka nyara huyo mwenyekiti huyo.

“Nikauliza kwa nini hakuja kwangu akasema ‘wapo viongozi wanaojua’, nikaamua kunyamaza, ndiyo maana ninapoulizwa suala la Lissu ninasema hapana, CHADEMA kwanza wajiangalie wao ndani.

“Huyo kijana (Joseph) walivyomtupa ufukweni walijua amekufa, kumbe alikuwa hajafa labda upepo ulimpiga akaamka. Miaka kadhaa baadaye tukaanza kusikia watu wanaokotwa wamekufa ufukweni, unadhani inatoa pcha gani!

“Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea.
 
chadema wamekua wakiratibu mafunzo ya kigaidi sana uzuri walishadhibitiwa vya kutosha haya ni masalia tuh
 
Ukiunganisha dot msaidizi wa slaa,chacha wangwe,mawazo,ben saanane,lissu na huyu gekul na ile kauli ya jaribu kuilamba sumu hii chadema ina watu hatari sana!
 
Hujatumia ubongo wako kufikiri vizuri wewe!!

Mtazame usoni.vizuri huyo Gekul unaona Nini?

Beautiful But holding grudge deeply!!

Ndio ndio kisasi kisichoisha kabisa moyoni kabeba huyo mama!

Niamini huyu mama atakua amewahi kunyanyaswa kingono katika pitapita yake kufika alipofika!
Ubunge wanaupata Kwa mengi we jamaa!

Huyo kwa kitendo alichofanya kinaonyesha ndicho anachofanywa au kufanya Kwa wengine akiw faragha!

Haiwezekani mwanamke anaependwa na mwenzi wake Tena anamjali akawa na unyama kama huo kama yeye hajawahi.fanyiwa!!!

Personal.analyisis!!!
 
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"
Kwa hiyo ni Chadema hao hao waliozima camera za ulinzi na kuziondoa?

Polisi nao wqlitekwa?

Mbona unamnukuu baba paroko aliyeshindwa hata kulishika agano la kanisa lake ?

Mleta mada haupo sawa kiakili.

Na huyo bi Gekuru hata kama ni zao la alshabab huyo atabaki kuwa ni CCM tu na aliifaa sana CCM na ndio maana ni mbunge wa wa CCM na sio Chadema
 
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"

“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika.

“Nitoe mfano iliwahi kutokea huko nyuma nikiwa Katibu Mkuu CHADEMA, nililetewa taarifa za mtu wangu anaitwa Joseph, huyu alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, alitekwa saa sita usiku. Kesho yake saa sita mchana nikahitisha mkutano na waandishi wa habari nikaisema sana Serikali na Usalama wa Taifa.

“Saa nane mchana siku hiyohiyo Joseph akapatikana, alikutwa ametupwa maeneo ya Ununio ameumia sana usoni.

“Mwezi mmoja baadaye kijana wangu wa Red Brigade anakuja kwangu kuniambia yeye ndiye aliongoza kukosi cha kwenda kumteka nyara huyo mwenyekiti huyo.

“Nikauliza kwa nini hakuja kwangu akasema ‘wapo viongozi wanaojua’, nikaamua kunyamaza, ndiyo maana ninapoulizwa suala la Lissu ninasema hapana, CHADEMA kwanza wajiangalie wao ndani.

“Huyo kijana (Joseph) walivyomtupa ufukweni walijua amekufa, kumbe alikuwa hajafa labda upepo ulimpiga akaamka. Miaka kadhaa baadaye tukaanza kusikia watu wanaokotwa wamekufa ufukweni, unadhani inatoa pcha gani!

“Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea.
Serious bro! Mazambi ya ccm unalinganisha na ya Gekul, takataka ya zamani ya chadema!
Hii ni sawa, na, kusema IST ni kama Scania, kwa vile yo te ni magari
 
Dkt. Wilbroad Slaa alipoulizwa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi, anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya CHADEMA".

“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika. Japo mweledi anaweza kujiuliza, CHADEMA waliwaondoa walinzi getini ambapo hata Spika wa Bunge anaishi, CHADEMA walingoa CCTV Camera, Mwanamfalme ambaye sas hivi anazunguka mikoani na punda na kusalimia viongozi wote wastaafu alitoka kwa gari namba binafsi akiwa na kikosi kazi chake na yule jamaa wa HAI aliyeshinda kesi Arusha kwa technicallity lakini ni kweli alikuwa anapora hela kwa mtutu ila mahakama imesema alikuwa kazini , je hao watu walitumwa na CHADEMA?

“Nitoe mfano iliwahi kutokea huko nyuma nikiwa Katibu Mkuu CHADEMA, nililetewa taarifa za mtu wangu anaitwa Joseph Yona, huyu alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, alitekwa saa sita usiku. Kesho yake saa sita mchana nikahitisha mkutano na waandishi wa habari nikaisema sana Serikali na Usalama wa Taifa.

“Saa nane mchana siku hiyohiyo Joseph akapatikana, alikutwa ametupwa maeneo ya Ununio ameumia sana usoni.

“Mwezi mmoja baadaye kijana wangu wa Red Brigade anakuja kwangu kuniambia yeye ndiye aliongoza kukosi cha kwenda kumteka nyara huyo mwenyekiti huyo.

“Nikauliza kwa nini hakuja kwangu akasema ‘wapo viongozi wanaojua’, nikaamua kunyamaza, ndiyo maana ninapoulizwa suala la Lissu ninasema hapana, CHADEMA kwanza wajiangalie wao ndani.

“Huyo kijana (Joseph) walivyomtupa ufukweni walijua amekufa, kumbe alikuwa hajafa labda upepo ulimpiga akaamka. Miaka kadhaa baadaye tukaanza kusikia watu wanaokotwa wamekufa ufukweni, unadhani inatoa pcha gani!

“Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea."​
 
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizwa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"

“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika.

“Nitoe mfano iliwahi kutokea huko nyuma nikiwa Katibu Mkuu CHADEMA, nililetewa taarifa za mtu wangu anaitwa Joseph Yona, huyu alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, alitekwa saa sita usiku. Kesho yake saa sita mchana nikahitisha mkutano na waandishi wa habari nikaisema sana Serikali na Usalama wa Taifa.

“Saa nane mchana siku hiyohiyo Joseph akapatikana, alikutwa ametupwa maeneo ya Ununio ameumia sana usoni.

“Mwezi mmoja baadaye kijana wangu wa Red Brigade anakuja kwangu kuniambia yeye ndiye aliongoza kukosi cha kwenda kumteka nyara huyo mwenyekiti huyo.

“Nikauliza kwa nini hakuja kwangu akasema ‘wapo viongozi wanaojua’, nikaamua kunyamaza, ndiyo maana ninapoulizwa suala la Lissu ninasema hapana, CHADEMA kwanza wajiangalie wao ndani.

“Huyo kijana (Joseph) walivyomtupa ufukweni walijua amekufa, kumbe alikuwa hajafa labda upepo ulimpiga akaamka. Miaka kadhaa baadaye tukaanza kusikia watu wanaokotwa wamekufa ufukweni, unadhani inatoa pcha gani!

“Ukiwa kiongozi lazima uwe kunasema ukweli hata kama unaona watu wako wanakosea.​
Serikali ifanye uchunguzi huru matukio yote makubwa ya utekaji kama wa akina Mo, Roma n.k na Lissu kupigwa risasi.
 
Kama ni ukweri nisawa hatuna dola nchi imejaa na waasi ...inamanisha polisi imeshindikana kukamata hawa wa huni wa Chadema???
 
Back
Top Bottom