"Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha, haiwezikuwa chini ya shilingi Bilioni tano za kitanzania" Amesema wakili Peter Madeleka.
Akihojiwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Wakili Madeleka amebainisha kuwa ikiwa Sofia ataamua...
Serikali haina nia ya kuendelea na kesi. Sasa dhamana inatoka wapi tena? Unampa mtu dhamana mtu aliye na kesi inayoendelea as far as I know.
Masharti yanatoka wapi ya kuripoti kila friday ya mwisho wa mwezi for a year wakati kufutiwa kesi siyo kifungo cha nje. Kuna vitu haviko sawa. peter...
Wakili Peter Madeleka amesema anafunga safari kuelekea Tabora kwa ajili ya kusimamia kesi ya mwanamke aitwaye Sophia ambaye anatuhumiwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ambaye aliteuliwa Katibu wa Oganaizesheni Ya CCM.
Taarifa hizo zimeibuka kufuatia mahojiano maalum...
DAR ES SALAAM: Jamhuri imemfungulia mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court) Wakili Peter Michael Madeleka (46) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mashtaka hayo yanahusiana na kauli na machapisho anayodaiwa kuyatoa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya...
Hii ni hati ya mashtaka (Charge Sheet) dhidi ya Peter Michael Madeleka, wakili. Kwa ufupi, inasema:
Anachotuhumiwa nacho
Madeleka amefunguliwa makosa 5 ya “Contempt of Court” (kudharau/kukiuka mamlaka au amri ya mahakama) chini ya Section 114(1)(a) ya Penal Code, Cap. 16 R.E. 2023.
Mashtaka...
Wakili Paul Kisabo amesema wamefanikiwa kumdhamini Wakili Peter Madeleka ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kudharau amri ya mahakama.
Wakili Kisabo amesema pamoja na kufanikiwa kumdhamini, wameshindwa kuondoka naye baada ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalun (ZCO) kuwaeleza kuwa...
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama “Mahakama ya...
Wakili Peter Madeleka amesema si kosa la kimaadili au la jinai kwa mtu yeyote, wakiwemo mawakili, kuongea na vyombo vya habari kwenye viunga vya mahakama baada ya ahirisho la kesi.
Mahakama kuu ya Tanzania iliwakumbusha mawakili wote wanaohudhuria mashauri mahakamani kuzingatia na kuheshimu...
Wakili Peter Madeleka, amewashutumu baadhi ya wasaidizi na watu waliopo pembeni mwa Rais kwa kumhujumu kiongozi huyo wa nchi na kuingiza taifa kwenye hatari.
Soma: Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Madeleka amebainisha kuwa...
https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N
Anasema:
1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania
2. Haoni chama kingine chochote ambacho kinapata uungwaji mkono mkubwa toka kwa wananchi kwa sasa kuliko wakati...
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI...
Wakili Peter Madeleka amesema Mahakama haiwezi kuwa tawi la chama cha siasa kwa kuwa ni mhimili huru kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Amesema uhuru wa Mahakama hauzuii wananchi kuzungumzia masuala yanayohusu mwenendo wa haki na shughuli za mahakama, akisisitiza kuwa Mahakama inapaswa kuongozwa...
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.
Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na maofisa wote wa Jeshi la Polisi wanapaswa kutekeleza Katiba na sheria za nchi, badala ya kufuata maelekezo ya viongozi ambayo hayana msingi wa kisheria.
"Kile ambacho IGP au ofisa yeyote wa Jeshi la Polisi anapaswa kukitii ni...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria za nchi, jukumu la vyama vya siasa vinapotaka kufanya mikutano hiyo sio kuomba kibali, bali ni...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema hatua ya Waziri mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani Patrobas Katambi kutoa amri kwa Polisi kutokutoa kibali...
Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
Wakili Peter Madeleka amesema "No Reforms, No Election" haiwezi Kufanywa Uhaini, akisisitiza kuwa madai ya mabadiliko ya kisiasa na kikatiba ni haki ya msingi ya kidemokrasia na sio uchochezi au kosa la jinai. Alifafanua kuwa katika mfumo wa vyama vingi, kila chama kina haki ya kuwa na sera na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.