Wakuuu habari ya wakati,,,,Naamini Mungu anaendelea kutupigania kwenye kila mapito yetu.
Wakuu napenda mnipe ushauri,nataka niichukue Computer kwaajili ya krecodi Audio,,je,ni computer gani inafaa au ya bei gani ndo inapiga kazi vizuri? Maana sina uzoefu kabisa na maswala ya ununuzi wa Computer...