kizimbani

Kizimbani (or Kisimbani) is a settlement of the Zanzibar Urban/West Region in Unguja, the main island of Zanzibar, Tanzania. It is located in the interior of the island, north-east of Zanzibar City. The remnants of old Persian public baths are found in this town.
Kizimbani is close to an eponymous forest, as well as a spice farm where several kinds of spices are cultivated, mostly as a visitor attraction; most so-called "Spice Tours" proposed by local travel operators are based in Kizimbani. Cultivation on display for the visitors include cinnamon, pepper, ginger, lemon grass, iodine, cocoa, nutmeg, clove, and vanilla.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Madeleka apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashtaka matano ya kudharau Mahakama

    Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi inayosikilizwa katika Mahakama Kuu ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wafanyausafi wawili wa treni ya SGR wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi wa simu

    WAFANYAUSAFI wawili wa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa simu ya thamani ya Sh 450,000. - Washitakiwa hao wakazi wa Temeke, Dar es Salaam ni Richard Ally (19) na Maneno Makora (18). Walifikishwa...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

    Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi. Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

    Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
  8. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

    Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania ‘Wachokonozi’ wapandishwa kizimbani Arusha kwa ‘Makosa ya Kimtandao’

    Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act) na kosa la pili...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

    Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
  11. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

    Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu; Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
  12. PSL god

    JamiiForums Tanzania Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

    Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Mbali na Berry...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono mtandaoni. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili ni Mustapha Kuhenga(28) ambaye ni mtaalamu wa Tehama na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Afisa Mtendaji kizimbani kwa kuomba na kupokea rushwa ya TZS 200,000

    Afisa Mtendaji Kata ya Lusungo, Bw. Edestus Clemence Ndunguru, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya TZS 200,000/= ili amsaidie mwananchi kuongea na askari polisi waweze kumpa dhamana katika Kituo cha Polisi Ipinda. Akisoma shtaka...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imemtumia wito Mbunge Pauline Gekul kufika Mahakamani hapo Disemba 27, 2023 kujibu kesi inayomkabili. Mahakama hiyo imemtaka kufika pasipo kukosa. Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul ameitwa mahakamani, kujibu tuhuma za kumshambulia na kumdhuru Hashim...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Mufindi na M/kiti wa Mapanda kizimbani kwa ubadhirifu wa zaidi Sh. Milioni 19

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili; 1. Ubadhirifu na ufujaji 2. Wizi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askari Wanyamapori kizimbani kwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya Shilingi 2,231,000

    Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
Back
Top Bottom