Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,169
1,533
WanaJF,

Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.

Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.

Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.

Nimemaliza
 
Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Uko sawa. Ila, tangu utoto nimefunzwa kuwa kila kosa lina wajibu wake, kuanzia kuangaliwa jicho, kuonyeshwa kidole, kufinywa shavu, kwenda kujikatia kiboko n.k. Na yeye, kama kweli ametenda kosa basi anastahili awajibishwe kulingana na sheria zilizopo.
 
Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Waziri mwenye dhamana na Sheria na katiba,mbunge alafu unafanya vitu kama mnyama na kuamini ushirikina,huyo mwananchi wa porini huko inakuaje? Kwani mamlaka za Sheria hazipo angempeleka huyo kijana. Hiv waafrika Nani katuroga? Sasa mzungu akiona haya katika Karne hii ataacha kuliita bara hili dark Continent linalokaliwa na wanyama Tu cz matendo YETU anashindwa kututofautisha na wanyama.
 
Unyanyasaji wa wananchi ni mambo ya kike mkuu? Tuhurumie kidogo
Una uhakika gani kama ni kweli?. Wacha tusubiri vyombo vya kutoa haki vifanye kazi yake ndipo tuweze kupanua midomo yetu. Unajua wakati mwingine uongo huwa unapanda lift na ukweli huwa unapanda ngazi. Lakini taratibu utafika roof top. Tumeambiwa hawa wamama wana bifu tangu zamani. Na inasemekana wako na bifu za kiitikadi pia. So lolote linaweza kuwa kweli kwa maana ya kumzushia gekul au gekul kufanya unyama. Njia pekee ni kusubiri court watu wapeleke ushahidi na haki itatolewa.
 
Sawa.umenena VYEMA.
 
WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.

Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.

Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemalize
Issue ya Gekul ni tone la maji kwenye bahari, tatizo kubwa ni ccm, chukia kenge wa ccm
 
WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.

Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.

Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemalize
Kwa kuanzia tu, tuambie kila biashara yake, mahali ilipo na huduma inazozitoa, ikiwemo picha za hizo biashara, halafu watu tutashare kupitia social media mbalimbali ili kila mtu ajue na kuzikwepa.

Kwa pamoja tuukatae uovu na shughuli za waovu.
 
WanaJF waliopo Babati watuwekee hizo picha na majina ya biashara
 
Back
Top Bottom