Hizi habari za jana,
Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba
Anasema yeye anakaa Police Quarter huko Pemba na huyo Askari ni jirani yake na usiku alikuwa anamfuata yule mtoto na kumbaka kwa sababu mtoto...
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku.
Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43)
Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo .
Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia.
Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo kufuatia hafla ya Wiki ya Mitindo ya Wanaume mnamo 2003.
kulingana na hati za mahakama...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024
Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty
Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.
hivi tena kuna...
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
Mwalimu wa kiume aliyejulikana kwa jina moja la Ngoitanile anayekaribia kuwa na umri wa miaka 60 anayefundisha Shule ya Msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila Kata ya Matola Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za ukatili wa kuwaingiza vidole sehemu za siri Watoto watano...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao.
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta.
Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema:
“Mzava ni mzazi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi...
HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake.
Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji
Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka.
Chanzo cha mauaji hayo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo.
Taarifa za Jeshi hilo...
Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe kwa kuchochea maandambano na vurugu zilizzofanyika Jan 6 2021 kwa waandamamji kuvamia jengp la Bunge
FUATILIA HAPA
Trump accused of 'attempted coup' in Capitol riot
Former US President Donald Trump orchestrated last year's Capitol...
Mkazi wa Tandahimba mkoani Mtwara, Shaibu Kauselela anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua mkewe na kitu Kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali na baadaye kumzika kwenye shamba na kupanda mpunga ili kupoteza ushahidi.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo, Kaimu Kamanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.