The Democratic Progressive Party (DPP) is a Taiwanese nationalist and centre-left political party in Taiwan. Controlling both the Taiwan Presidency and the unicameral Legislative Yuan, it is the majority ruling party and the dominant party in the Pan-Green Coalition.
Founded in 1986, the DPP is one of two major parties in Taiwan, along with the historically dominant Kuomintang. It has traditionally been associated with strong advocacy of human rights, anti-communism and a distinct Taiwanese identity. The incumbent President and former leader of the DPP, Tsai Ing-wen, is the second member of the DPP to hold the office.The DPP is a long-term member of Liberal International and a founding member of the Council of Asian Liberals and Democrats. It represented Taiwan in the Unrepresented Nations and Peoples Organisation. The DPP and its affiliated parties are widely classified as socially liberal because of their strong support for human rights, including support for gender equality, but they also advocate economic liberalism and a nationalistic identity. In addition, the DPP is more willing to increase military expenditures, with a strong pro-Western foreign policy.
Wakati Jaji Nduguru anatoa uamuzi wa mahakama kuhusu kuwaita mahakamani mashahidi wa utetezi, aliwataja IGP, CDF na DPP kwa majina na vyeo vyao.
Swali ni kwanini wakati anasoma maamuzi yao hao mashahidi kupekewa wito wa kufika mahakama aliwataja kwa vyeo tu bila kutaja majina yao kama wakati...
Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!.
Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!.
Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu Oktoba 29!!.
Baada ya jana Septemba 9, 2026 Makamu Mwenyeekiti wa CHADEMA Bara, Joun Heche kupanda Kizimbani na kuanza kutoa ushahidi wake katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyeekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na leo tena anaendelea.
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Septemba...
Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee.
Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetoa mapendekezo kwa Serikali kutumia mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuangalia uwezekano wa kuondoa mahakamani kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ili kutoa nafasi...
DPP amafungua kesi hiyo...ya aina yake ambapo itabidi Polisi wadhibitishe Mahakamani kwamba nchi hii ni ya Baba na Mama yake Patros Katambi...
Tunategemea Wazazi wa Patros Katambi watapeleka hati miliki ya nchi ya Tanzania Mahakamani
Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu.
Masaju amekomalia briefing za mawakili viunga vya mahakama! Concen yake ilibidi iwe JUSTICE DELAYED...
Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama.
Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.
Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
DPP sasa ana option ya Kuichomoa kesi kwa kutumia kifungu cha 91 cha Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai lakini kifungu hiki hakitoi kinga kwa mshitakiwa kukamatwa tena na kufunguliwa kesi ile ile au mashtaka mengine hapa naona ndiyo jambo ambalo linaweza kufanyika.
Kwanini Kesi inatakiwa...
Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
The Director of Public Prosecutions (DPP) has asked the High court to deny bail to People’s Front for Freedom (PFF) president Erias Lukwago, arguing that he is both a flight risk and capable of interfering with prosecution witnesses because of his political influence.
In an affidavit filed...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na viongozi wa upinzani kesi za uongo za ugaidi.
"Ofisi ya Mwaikitaru na ofisi ya DPP ni ofisi zinazopaswa...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa.
Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake.
Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija...
The Director of Public Prosecutions (DPP) has approved murder charges against nine students implicated in the deadly fire at Utumishi Girls Academy in Gilgil, Nakuru County, which claimed the lives of 16 students on May 28, 2026. The decision follows a review of evidence submitted by the...
Mahakama ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Machi 6, 2026 imewaachia huru watuhumiwa saba waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la uchomaji Moto, Shauri la Jinai Namba 2037 la Mwaka 2026 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo pasi kuacha shaka.
Taarifa ya LHRC imeeleza kuwa...
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025.
Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025.
Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.