Utenguzi tu Hautoshi, Pauline Gekul afikishwe Mahakamani kwa hii jinai aliyoitenda

Moto umeanza kumuunguza, sheria isifuatwe bali ionekane imetendeka
 
Ametenguliwa? Safi sana maana ni aibu kubwa sana
Tena nasikia na ushirikina umo
Kweli nchi masikini na ushirikina lazima hata uwe na hela, elimu au madaraka ya aina gani bado unakuwa mshenzi tu
 
Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!.

Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.


Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile hayasemwi yaliyo yao.


GEKUL ashitakiwe !!.
Hawa wahini waliolelewa na Machadema ni hovyo sana si Huwa unaona kina Lisu wanavyotukana?
 
Kuna vijana alikuwa nao ndio waliwaingizia chupa....sio polisi ..hao vijanavwakamatwe haraka.....
 
Back
Top Bottom