serengeti girls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Naibu Waziri wa Michezo, Pauline Gekul ashangilia Serengeti Girls kutinga robo fainali Kombe la Dunia Wanawake -U17

    MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga hatua ya Robo FAINALI ya Kombe la Dunia la wanawake U17 linaloendelea Nchini India.
  2. Bila bila

    Tanzania yafuzu hatua ya Robo fainali, Kombe la dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17

    Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefanikiwa kufika hatua hiyo baada ya kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Canada katika michuano inayoendelea Nchini India. Matokeo hayo ya Kundi D yameiwezesha Tanzania kuwa na pointi 4 na kushika nafasi ya pili nyuma ya Japan iliyoongoza kundi kwa...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  4. JanguKamaJangu

    Timu ya Serengeti Girls yaweka rekodi Bungeni leo Juni 07, 2022

    Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202 Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India Oktoba 2022.
  5. Replica

    Bunge latengua kanuni kuruhusu Serengeti Girls kutinga mbele ya Bunge

    Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge. Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India. Spika...
  6. P

    Serengeti Girls mmetuheshimisha sana Watanzania, pokeeni pongezi za dhati kabisa

    Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa magoli 5-1 tena ugenini dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa ya hadhi ya Cameroon, Mmefuta aibu ya...
Back
Top Bottom