Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
IMG_7305.jpeg


====

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Soma pia:

Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Breaking News: - Rais Samia Suluhu atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji

Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

Pauline Gekul anastahili kuvuliwa uanachama na kufikishwa mahakamani haraka sana. Amekichafua na kukipaka matope chama

CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
 
kwa sababu ni kesi ya kubambikia labda, inawezekana aliweka zuio kama
Waziri wa Sheria kwenye swala la kuuzwa/gawiwa bure kwa misitu ya kwao Manyara kumpa mwarabu wa carbon credits kwa kwa miaka 100 bure wakamtafutia sababu ya kumuondoa, pure evil …
 
Niliandika hapa kwamba uovu wa Gekul ni kama utakatifu ukilinganishwa na ule wa Makonda:
 
Wakuu tutafute pesa na connection ndio silaha kubwa hapa Duniani.

Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul ambae alikuwa akikabiliwa na tuhuma/Mshtak ya shambulio la kimwili na Udhalilishaji kwa kumuingizia Kijiti Kijana ambae alikuwa mfanyakazi wake hotelini inasemekana amefutiwa Mashtaka na DPP.
20231227_134042.jpg


My Take
Maskini Haki zenu mkatafite mbinguni au mlilieni Mungu ila hapa Duniani pesa,Vyeo na connection ndio Mpango mzima.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1739960545044730229?t=ZRtaMuv12TxIK6kH2XjOpA&s=19
 
Back
Top Bottom