malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  3. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Malezi ya wazazi wangu yameniathiri vibaya sana

    Nimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa kucheza nao, kupiga stori au kufanya mambo ya kawaida ya utotoni. Baada ya kuanza maisha...
  4. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    Kama mwanaume, watoto wako wakiwa bado wadogo na wewe ukiwa katika kilele cha nguvu zako ukiwa na kazi ya kudumu, nyumba huwa inaendeshwa kama ufalme uliopangwa vizuri. 😂 Wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Usalama na Jaji Mkuu kwa wakati mmoja...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mamaako alijua wanawake wa babaako huko mitaani. Babaako alijua visa vya mama ako nyumbani ila walichagua usikose zawadi ya malezi ya wazazi wa wawili

    sikufundishi uwe mfuska, sikufundishi uwe kisirani Mwanamke anapenda kuhudumiwa na attention ila hadi at what cost and extent? Mwanaume anapenda kufanyiwa mautundu ya mapenzi na utiifu ila hadi at what extent? Mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea popote itafanya kazi, mwanaume ni compyuta...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mama Mkwe kuingilia malezi ya watoto wangu?

    Mama mkwe wangu namheshimu sana kama mama yangu ila kitu napishana naye ni pale anapotaka kuingia kuwa mzazi wa watoto wangu. Ananiingilia sana kwenye malezi, kila nikifanya maamuzi kwa watoto wangu yeye anapingana nayo anataka mtoto alelewe vile yeye anaona inafaa mpaka nashindwa kuelewa huyu...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wadada wanaotumwa mitandaoni wakiwa utupu wana wazazi kweli! Malezi gani haya

    Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
  8. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania Je, malezi ya "Watu watasemaje" yameharibu mahusiano ya kizazi hiki?

    Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine. Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza Mlezi ya Kimaadili na Ushirikiano wa Kijamii

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
  10. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  11. malaki123

    JamiiForums Tanzania Jinsi malezi yanavyokiharibu kizazi chetu kijacho

    Moja kati ya swali gumu ninalojiuliza mara zote huwa ni MWANANGU ANAWEZA KUISHI NA WATU WENGINE IKIWA SIPO!? Moja ya msingi mgumu ni MALEZI hasa kwenye jamii ya sasa…! Ni kwa sababu wazazi wameacha wajibu mkubwa kwa wadada wa kazi…! Binafsi, Napenda kuweka limit ya baadhi ya vitu. - Screen...
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Wewe kama mzazi utathubutu kuwaacha watoto wako nyumbani wenyewe?

    Watoto wa kiafrica ni kama vichaa utakuta wamefanya destructions za kutisha.
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuanzisha kituo cha kulea watoto wa single mother ili kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu

    Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu kwaio sisi tutaitwa baba zao walezi. Kwanini wazo...
  14. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Malezi: Tunarithishana maumivu

    Kuna kitu nime witness Leo kwenye daladala, Kuna mama sjui bibi! Alikua na mtoto mdogo, very innocent.. inaonekana kabisa hakua mama yake, yule mtoto hakua comfortable, alikua anaumwa jino (nilikuja kugundua baadae!) So kwanza dogo, dogo kawekwa pembeni, siti ya kukaa watu wawili yule mama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

    Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
  16. Vien

    JamiiForums Tanzania Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
  17. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  18. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mzazi wewe ndio unayekuza kijana shapu au goi goi

    My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
  19. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Maswali Tisa Yanayopaswa Kujibiwa Kabla ya Kuamua Kuitwa Baba au Mama

    Habari za wakati huu wakuu, Mara nyingi tunasherehekea "ujauzito" na "kujifungua," lakini tunasahau kuwa kuitwa mzazi ni mkataba wa maisha yote ambao hauna likizo. Uzazi bora hauanzi wodini; unaanza kichwani na moyoni mwa mzazi kabla hata mtoto hajatungwa. Kama unafikiria kuingia kwenye hatua...
  20. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni jaribio la wazi la kuitengenezea CCM kivuli cha kujificha kwa kukosa kuwajibika kwa wananchi...
Back
Top Bottom