manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Chakaza

  Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

  Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi. Huko...
 2. B

  Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

  ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
 3. Vincenzo Jr

  Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

  Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
 4. Bila bila

  TFF, June 2 Mtaleta maafa Manyara.

  Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga. Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya tukio (probable consequences) la fainali kubwa kama hiyo kufanyika kwenye uwanja mdogo kama ule na...
 5. Roving Journalist

  Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

  Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
 6. Stephano Mgendanyi

  Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

  Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
 7. J

  MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

  Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
 8. BARD AI

  Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

  Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
 9. Erythrocyte

  Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

  Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara . Kama kawaida Mimi Mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri . Usiondoke JF =========== Tayari...
 10. Erythrocyte

  Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

  Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko . Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless...
 11. J

  Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

  BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
 12. Roving Journalist

  TCCIA Manyara yasema Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kughushi nyaraka sio muajiriwa wao

  Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Mkoa wa Manyara (TCCIA Manyara) kimeeleza kuwa taarifa zilizosambaa mitandaoni zikimtaja mshauri wa biashara na mwajiriwa wa TCCIA Manyara, Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya shilingi 900,000 kwa kosa la...
 13. R

  Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

  Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
 14. Miss Zomboko

  Manyara: Mshauri wa Wafanyabiashara TCCIA ahukumiwa kwa kughushi nyaraka za malipo

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu Bw. RAMADHANI RASHID MSANGI ambaye ni Mshauri wa Wafanyabiashara mwajiriwa wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa wa Manyara (Bussines consultant -TCCIA Manyara). Mshtakiwa ameamriwa kulipa faini kiasi cha shilingi 900,000/= au kwenda jela miaka...
 15. Roving Journalist

  Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa. Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
 16. Roving Journalist

  Mkuu wa Mkoa wa Manyara: Baadhi ya Wananchi wa Kisangaji (Babati) hawataki kujenga vyoo wanajisaidia porini

  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sengida amejibu hoja ya Member wa JamiiForums.com aliyedai Wilaya ya Babati, Kata ya Magugu, Kijiji cha Kisangaji kuna Ugonjwa wa Mlipuko wa Kipindupindu lakini Serikali haisemi. Kusoma hoja ya member ipo hapa - Serikali iweke wazi Ugonjwa uliopo Kijiji cha...
 17. K

  Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

  Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
 18. Funa the Great

  Ijue Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara

  Chini ya bonde kubwa la ufa lenye muonekano wa kipekee utakutana na hifadhi yenye kuvutia zaidi iliyopewa jina la hifadhi ya taifa Ziwa Manyara (Lake Manyara National Park). Hii ni hifadhi inayopatikana kaskazini kwa Tanzania mkoa wa Manyara. Ni hifadhi inayokupa nafasi ya kushuhudia mambo...
 19. mwanamwana

  Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
 20. B

  Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

  Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
Back
Top Bottom