Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge wake 2025 Jimbo la Namtumbo.

Hivi sasa yuko Songea Mjini na kazi yake kubwa kukipasua Chama cha Mapinduzi na Serikali ya Wilaya ya Namtumbo akiwa baraka za RC wa Mkoa wa Ruvuma.

JUMA Homera ana nia ya kugombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa ticket ya CCM 2025 tatizo njia anazotumia sio njia sahihi na sio njia salama kwa chama hichonm. Anachofanya anadhani anahangaika na Mbunge wa sasa Vita Kawawa kumbe anakidhohofisha chama kwa kutengeneza makundi ambayo siyo afya kwa chama cha mapinduzi kwa sasa kwani huu ni mwaka wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Amekuwa anawaita Wazee wa wilaya ya Namtumbo kwenda Mjini Songea ambapo ameweka kambi ya kugawa Rushwa kwa wazee hao na makundi mengine mbalimbali ya Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kuungwa mkono huku akiwaaminisha viongozi na watu hao kuwa Serikali haijafanya kitu Namtumbo chini ya Mbunge wa sasa. Hii ni hatari kwa chama kwani muda wa kampeni bado haujafika lkn pia chama kinakataza kutoa na kupokea Rushwa. Juma Homera amekuwa muumini wa kuamini Rushwa ndio ushindi.

Ndugu Homera ameanzisha Kampeni chafu za rushwa jambo ambalo linahatarisha umoja na mshikamano uliopo hivi sasa katika CCM Wilaya ya Namtumbo japo hizo nguvu haonekani kuwa nazo kihivyo lakini hatua chafu za rushwa zinapaswa kukemewa.

Ikumbwe Juma Homera ameanzisha Redio ktk Wilaya ya Namtumbo ambayo inatumika vibaya kwasababu anakiuka misingi na sheria za uanzishwaji wa Redio.hutumia Redio hiyo kufanya kampeni zake jambo ambalo ni kosa kisheria kutumia Redio yako kisiasa TCRA inabidi watupie jicho utendaji wa radio hiyo.

Hivi karibuni wakati wa ziara ya Mwenezi wa CCM Wilaya ya Namtumbo aliandaa vijana kupita kuhoji watu ili kuonyesha Mbunge wa sasa hakubaliki na alitumia site TV kufanya hivyo zoezi hilo halikufanikiwa kwasababu wananchi walichukua akili za kuambiwa wakachanganya na zao wakagoma kutumiwa.haikutosha Juma Homera kupitia Ndugu yake Mwalimu alimtumia kugawa pesa kwa vijana wa bodaboda ili wamzomee Mh Vita pindi Mh Makonda atakapo wasili Namtumbo lkn vijana wakala pesa yake na hawakufanya hivyo. kwa kuwa Mh Makonda alikuwa na taarifa za mpango huo wa Juma Homera alipo simama Namtumbo aliuliza mna tatizo na Mbunge wenu watu wooote wakasema hakunaaaaaa akasema mlindeni Mh Vita. Hivi kuna tija gani katika kumzomea mtu anayefanyakazi na viongozi wa Serikali na Chama Tawala kuchagiza maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya CCM? Hizi ni siasa za kitoto zinatakiwa kukemewa.

Hivi sasa RC Homera wa Mbeya yupo Songea mjini anafanya kampeni na anawaita Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Wilaya na Viongozi wa CCM Wilaya ya Namtumbo na kuwagawia pesa na kufanya nao vikao na wajumbe hao kinyumbe na kanuni na taratibu za chama bahati mbaya kwake wajumbe hao wakitoka wanasema yote waliyoambiwa na mimi ni mmoja wai. tmTunaiomba Takukuru Mkoa na Wilaya kufuatilia vitendo hivi na kumkamata muhusika na kumchukulia hatua kwani ushahidi wa watu walio pokea pesa na kalenda upo na tuko tayari kusema ukweli kukomesha vitenda vya kutuvuruga sisi tunataka maendeleo sio senti ukinunua sukari imekwisha. Cha ajabu eneo linalotumika kufanya vitendo hivyo vya ukiukwaji wa maadili na ushahidi mwingine mwingi wa dhahili na wakimazingira upo.

Amekuwa akieleza wajumbe kuwa katumwa na Mh. Rais kugombea jimbo . Hivi kweli inaingia akilini Mh. Rais kuwatuma wagombea ubunge wakafanye kampeni za kukibomoa chama na kudhalilisha kazi za utekelezaji wa ilani zinazoendelea nchi nzima?

Ktk safari hizo hutumia Gari la RC Mbeya na gari zingine za pale mkoani tunazo namba za gari hizo na majina ya madereva husika ambazo gari hizo zinatumika kwenye harakati zake za kisiasa kinyume na sheria.lkn hii inaonyesha ameshindwa kazi aliyopewa na Mh Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya badala yake yupo katika harakati za Ubunge ambao muda wake kisheria haujafika hivyo kila mwezi anauacha mkoa anaohudumia kukimbilia kampeni za ubunge.

Hii inaonyesha ameshindwa kazi za mkoa wake sababu yuko kwenye harakati za kutafuta ubunge. Anakutana na wapiga kura na kuwapa pesa. Anatumia wahuni kuharibu kazi za Mbunge wa CCM kuonyesha chama hakijafanya kazi na Serikali yake. Hali ambayo itawagawa wana CCM . Namshauri atulie atumikie cheo alichopewa na Rais kwani ni heshima kubwa amepewa sio lazima mtu mmoja kulazimisha kutumikia vyeo viwili kwa wakati mmoja mkoa na jimbo lazima kimoja kitaumia kama tunavyo dhani Mbeya inaumia.

Uongozi wa chama Wilaya uwe makini na mtu anae eneza chuki zakutaka kuharibu kazi nzuri ya ilani ya chama iliyofanywa na Rais na Mbunge aliopo madarakani kwasasa. Ikemee wahuni kama wanao waza kwa tumbo nasio kichwa kwanini watoe rushwa ? .vyombo vya ulinzi na usalama tupieni jicho jambo hili kwa mtu anae haribu kazi kubwa iliyo fanywa na Serikali ya Rais Samia na chama cha mapinduzi kwakusema Namtumbo hakujafanyika lolote anamchonganisha Rais na wananchi lakini pia kwa kusema hayo anaonyesha RC Ruvuma na viongozi wa Wilaya hawajasimamia utekelezaji?

Yeye kwa akili yake anafikiri anamchonganisha mbunge na wananchi Kumbe utekelezaji wa ilani ni wa serikali ya ccm chini ya Rais Samia kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa na Wilaya akiwemo Mbunge na Madiwani.
 
anahangaika na Mbunge wa sasa Vita Kawawa
Amewahi hata kuzungumzia Kero na changamoto za watu wa Namtumbo akiwa bungeni?

Sasa Mbunge unakaa bungeni Jimboni kwako tangu unaingia mpaka unatoka hakuna Jambo lolote la kimaendelea kwa manufaa ya wananchi ulilolifanya kwenye Jimbo lako zaidi ya kupigia kampeni Serekali iwanunulie Ndege wabunge waanze kufanya matanuzi, barabara za Jimbo lako hazitamaniki, hivi unategemea wananchi watakuchekelea?
 
Wewe km hufanyi maendeleo kwenye Jimbo lako subiri wakutoe wamuweke mwingine, acha kulialia kijinga kwanza hoja zako hazina mashimo rushwa rushwa wewe umewafanyia nini wana Namtumbo nini umewafanyia orodhesha hapo kwenye uzi wako sio unakaa kulialia tu humu muone kwanza, km unajiamini kweli wananchi umewafanyia Mazuri kwanini una wasiwasi? Bangladesh

Wananchi ukiwafanyia Mazuri wenyewe wanaimba tunamtaka fulani haina haja ya kujiliza liza humu Sawa ndugu Mbunge Vita Kawawa? Wataimba wenyewe tunamtaka Vita Kawawa katuwezesha tumepata Ambulance za kutosha tunamtaka Vita Kawawa tulikua hatuna Zahanati katupambania Bungeni tumepata tunamtaka Vita Kawawa katupambania Bungeni tumepata barabara za lami sasa hatupigwi tena na vumbi nk nk sasa wewe unashindwa kuelewa hilo? Unakuja kulialia humu hujui wananchi wako wanataka nini uwapiganie wapate waendelee kukupa nafasi ya kuingia Bungeni?

Rubbish
 
Wewe mwenyewe ni kibaraka wa vita kawawa. Wewe ni mchumia Tumbo Pro max

Kwa taarifa yako unajisumbua bure. Vita sio mzawa wa Namtumbo na hana uchungu na maendeleo ya Namtumbo period. Vita hawezi kuwa mbunge tena wa Namtumbo kwa mwaka 2025 - 2030 lakini ufahamu kuwa mbunge ajaye pia anatokea kijiji Cha Mtakanini as a replacement ya Vita kawawa.

Hivyo basi sio Juma Homera Wala huyo vita kawawa wako ambao wataupata huo ubunge kwa 2025.

Kijana mzawa wa Namtumbo kutokea kijiji Cha Mtakanini amejipanga vema na hana hofu kwa hizo rafu zenu za kijinga.

Na wewe uache uchawaaa, unajidhalilisha kwa uchawa wewe mwalimu wa shule ya msingi
 
Kama ninakumbuka vizuri*Juma Homera* amewahi kuwa DC wa Tunduru chini ya JPM.

JPM alimkubali sana na akamteua kuwa RC Katavi, kabla ya kuhamishiwa Mbeya.

Ila huwa sielewi hii dhana ya kukigawa chama na kusigana kuhusu kutangaza nia au kufanya mipango.

Kama Mbunge una uhakika na kazi yako, wasiwasi ni wa nini??
 
Kila mtu afanye yake. Mkuu wa Mkoa ahangaike na mkoa wake. Nshawasoma Chawa wa Homera, wapo kazini kujibu mashambulizi, kweli unaukimbizia Ubunge!!

Tamaa ya nini Homera, hutosheki?
 
Wewe ni Boya kabisa na hizo njaa zako zitakuua , kwa akili yako mbovu unadhani Vita kawawa ana HATI MILIKI YA KUTAWALA JIMBO LA NAMTUMBO FOREVER?

Acha udwanzi, Sio Homera Wala kawawa ambao watachukua Jimbo 2025 , wewe kama umepewa buku 7 na vita eti umtetee basi wewe ni boya.
NB; Vita anatumia Jimbo la Namtumbo kama kitega uchumi chake, anavuna Namtumbo kwa wapumbumbavu kama wewe mchumia Tumbo halafu anaenda kuwekeza Dodoma na Dar , ili hali wananchi hawana faida yeyote.

Nenda kajipange upya, na uumpe taarifa rasmi kuwa 2025 tuna mfurusha na sio Homera bali ni sisi kama sisi wenye vinasaba vya kweli na Namtumbo yetu.

Halafu we dogo huna akili kabisa, hivi vita amekupa nini? Mbona unashoboka nae sana?
Njaa yako mbaya sana wewe juha
 
Nyie ndugu zangu Wandendeule penye Hapo Namtumbo Kuna Maendeleo gani?Mpumzisheni huyo Vita Wapeni hata Wapinzani kama hamtaki kumpa Homera.Na wewe unakula ela ya Homera alafu unamsagia kunguni Kuna jamaa yalimkuta alipewa alishikishwa kitabu Kuwa atomsaliti jamaa kachukua ela mwisho wa siku kamsaliti Leo mguu mmoja mfupi.
 
Mimi hapo naona umefanya kazi ya kumchafua Mheshimiwa mkuu wa mkoa Juma Jomela kwa kuonyesha wazi chuki yako kwako isiyo na ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya maneno mengi mengi bila uthibitisho.

Kama mbunge aliyepo kwa sasa yafanya kazi ipasavyo basi akubali kuwa muda wake wa kuachia jimbo umefika na ni lazima atang'olewa tu. Sasa kama mtu anafanya kazi kwanini aanze hofu na kuchafua wengine kama unavyofanya kumchafua Mheshimiwa juma homela.

Nasema hivi Mheshimiwa juma Homela kama unaona mbunge hafanyi kazi zake vyema basi wewe songa mbele kuendelea kuwatembelea ndugu zako na wananchi wanzako wa Namtumbo ili kama ikiwezekana basi mwakani wakupe ubunge uende ukawawakilishe bungeni .

CCM hatutaki Majungu.fanya kazi na siyo kulia lia tu humu mtandaoni. Kama ungekuwa na busara ungepeleka hoja zako kwa vikao rasmi vya chama.
 
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge wake 2025 Jimbo la Namtumbo.

Hivi sasa yuko Songea Mjini na kazi yake kubwa kukipasua Chama cha Mapinduzi na Serikali ya Wilaya ya Namtumbo akiwa baraka za RC wa Mkoa wa Ruvuma.

JUMA Homera ana nia ya kugombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa ticket ya CCM 2025 tatizo njia anazotumia sio njia sahihi na sio njia salama kwa chama hichonm. Anachofanya anadhani anahangaika na Mbunge wa sasa Vita Kawawa kumbe anakidhohofisha chama kwa kutengeneza makundi ambayo siyo afya kwa chama cha mapinduzi kwa sasa kwani huu ni mwaka wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Amekuwa anawaita Wazee wa wilaya ya Namtumbo kwenda Mjini Songea ambapo ameweka kambi ya kugawa Rushwa kwa wazee hao na makundi mengine mbalimbali ya Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kuungwa mkono huku akiwaaminisha viongozi na watu hao kuwa Serikali haijafanya kitu Namtumbo chini ya Mbunge wa sasa. Hii ni hatari kwa chama kwani muda wa kampeni bado haujafika lkn pia chama kinakataza kutoa na kupokea Rushwa. Juma Homera amekuwa muumini wa kuamini Rushwa ndio ushindi.

Ndugu Homera ameanzisha Kampeni chafu za rushwa jambo ambalo linahatarisha umoja na mshikamano uliopo hivi sasa katika CCM Wilaya ya Namtumbo japo hizo nguvu haonekani kuwa nazo kihivyo lakini hatua chafu za rushwa zinapaswa kukemewa.

Ikumbwe Juma Homera ameanzisha Redio ktk Wilaya ya Namtumbo ambayo inatumika vibaya kwasababu anakiuka misingi na sheria za uanzishwaji wa Redio.hutumia Redio hiyo kufanya kampeni zake jambo ambalo ni kosa kisheria kutumia Redio yako kisiasa TCRA inabidi watupie jicho utendaji wa radio hiyo.

Hivi karibuni wakati wa ziara ya Mwenezi wa CCM Wilaya ya Namtumbo aliandaa vijana kupita kuhoji watu ili kuonyesha Mbunge wa sasa hakubaliki na alitumia site TV kufanya hivyo zoezi hilo halikufanikiwa kwasababu wananchi walichukua akili za kuambiwa wakachanganya na zao wakagoma kutumiwa.haikutosha Juma Homera kupitia Ndugu yake Mwalimu alimtumia kugawa pesa kwa vijana wa bodaboda ili wamzomee Mh Vita pindi Mh Makonda atakapo wasili Namtumbo lkn vijana wakala pesa yake na hawakufanya hivyo. kwa kuwa Mh Makonda alikuwa na taarifa za mpango huo wa Juma Homera alipo simama Namtumbo aliuliza mna tatizo na Mbunge wenu watu wooote wakasema hakunaaaaaa akasema mlindeni Mh Vita. Hivi kuna tija gani katika kumzomea mtu anayefanyakazi na viongozi wa Serikali na Chama Tawala kuchagiza maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya CCM? Hizi ni siasa za kitoto zinatakiwa kukemewa.

Hivi sasa RC Homera wa Mbeya yupo Songea mjini anafanya kampeni na anawaita Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Wilaya na Viongozi wa CCM Wilaya ya Namtumbo na kuwagawia pesa na kufanya nao vikao na wajumbe hao kinyumbe na kanuni na taratibu za chama bahati mbaya kwake wajumbe hao wakitoka wanasema yote waliyoambiwa na mimi ni mmoja wai. tmTunaiomba Takukuru Mkoa na Wilaya kufuatilia vitendo hivi na kumkamata muhusika na kumchukulia hatua kwani ushahidi wa watu walio pokea pesa na kalenda upo na tuko tayari kusema ukweli kukomesha vitenda vya kutuvuruga sisi tunataka maendeleo sio senti ukinunua sukari imekwisha. Cha ajabu eneo linalotumika kufanya vitendo hivyo vya ukiukwaji wa maadili na ushahidi mwingine mwingi wa dhahili na wakimazingira upo.

Amekuwa akieleza wajumbe kuwa katumwa na Mh. Rais kugombea jimbo . Hivi kweli inaingia akilini Mh. Rais kuwatuma wagombea ubunge wakafanye kampeni za kukibomoa chama na kudhalilisha kazi za utekelezaji wa ilani zinazoendelea nchi nzima?

Ktk safari hizo hutumia Gari la RC Mbeya na gari zingine za pale mkoani tunazo namba za gari hizo na majina ya madereva husika ambazo gari hizo zinatumika kwenye harakati zake za kisiasa kinyume na sheria.lkn hii inaonyesha ameshindwa kazi aliyopewa na Mh Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya badala yake yupo katika harakati za Ubunge ambao muda wake kisheria haujafika hivyo kila mwezi anauacha mkoa anaohudumia kukimbilia kampeni za ubunge.

Hii inaonyesha ameshindwa kazi za mkoa wake sababu yuko kwenye harakati za kutafuta ubunge. Anakutana na wapiga kura na kuwapa pesa. Anatumia wahuni kuharibu kazi za Mbunge wa CCM kuonyesha chama hakijafanya kazi na Serikali yake. Hali ambayo itawagawa wana CCM . Namshauri atulie atumikie cheo alichopewa na Rais kwani ni heshima kubwa amepewa sio lazima mtu mmoja kulazimisha kutumikia vyeo viwili kwa wakati mmoja mkoa na jimbo lazima kimoja kitaumia kama tunavyo dhani Mbeya inaumia.

Uongozi wa chama Wilaya uwe makini na mtu anae eneza chuki zakutaka kuharibu kazi nzuri ya ilani ya chama iliyofanywa na Rais na Mbunge aliopo madarakani kwasasa. Ikemee wahuni kama wanao waza kwa tumbo nasio kichwa kwanini watoe rushwa ? .vyombo vya ulinzi na usalama tupieni jicho jambo hili kwa mtu anae haribu kazi kubwa iliyo fanywa na Serikali ya Rais Samia na chama cha mapinduzi kwakusema Namtumbo hakujafanyika lolote anamchonganisha Rais na wananchi lakini pia kwa kusema hayo anaonyesha RC Ruvuma na viongozi wa Wilaya hawajasimamia utekelezaji?

Yeye kwa akili yake anafikiri anamchonganisha mbunge na wananchi Kumbe utekelezaji wa ilani ni wa serikali ya ccm chini ya Rais Samia kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa na Wilaya akiwemo Mbunge na Madiwani.
Redio yake inaitwaje mkuu
 
Vita aache kulia apambane kwa sababu huenda naye alitumia mbinu hizo hizo zinazolalamikiwa kumtoa mbunge aliyekuwepo hapo kabla yake, ndiyo siasa hiyo. Homera pambana brother classmate wangu pale Songea Muslim seminary pia shule ya msingi Nyerere kule Mputa
 
Siasa huwa haina huruma ukibaki kulialia mitandaoni Jimbo linaondoka kweli.

Homera ni mchapakazi Sana alipokua Tunduru alikua vizuri Sana sijajua huko aliko sasa.

Vita ajitahidi kuboresha utendaji wake uwe mzuri zaidi wananchi wakimkubali anafanya kazi vyema hakuna wakuchukua Jimbo hilo ila kama utendaji unamapungufu itakua changamoto.

Watu wameshaona kunasehemu pamelega ndio maana wanalitaka Jimbo na mwenye Jimbo anapata mashaka.

Kila la heri wagombea wote wenye Nia ya kuwatoa wabunge wazembe katika majimbo yote.
 
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge wake 2025 Jimbo la Namtumbo.

Hivi sasa yuko Songea Mjini na kazi yake kubwa kukipasua Chama cha Mapinduzi na Serikali ya Wilaya ya Namtumbo akiwa baraka za RC wa Mkoa wa Ruvuma.

JUMA Homera ana nia ya kugombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa ticket ya CCM 2025 tatizo njia anazotumia sio njia sahihi na sio njia salama kwa chama hichonm. Anachofanya anadhani anahangaika na Mbunge wa sasa Vita Kawawa kumbe anakidhohofisha chama kwa kutengeneza makundi ambayo siyo afya kwa chama cha mapinduzi kwa sasa kwani huu ni mwaka wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Amekuwa anawaita Wazee wa wilaya ya Namtumbo kwenda Mjini Songea ambapo ameweka kambi ya kugawa Rushwa kwa wazee hao na makundi mengine mbalimbali ya Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kuungwa mkono huku akiwaaminisha viongozi na watu hao kuwa Serikali haijafanya kitu Namtumbo chini ya Mbunge wa sasa. Hii ni hatari kwa chama kwani muda wa kampeni bado haujafika lkn pia chama kinakataza kutoa na kupokea Rushwa. Juma Homera amekuwa muumini wa kuamini Rushwa ndio ushindi.

Ndugu Homera ameanzisha Kampeni chafu za rushwa jambo ambalo linahatarisha umoja na mshikamano uliopo hivi sasa katika CCM Wilaya ya Namtumbo japo hizo nguvu haonekani kuwa nazo kihivyo lakini hatua chafu za rushwa zinapaswa kukemewa.

Ikumbwe Juma Homera ameanzisha Redio ktk Wilaya ya Namtumbo ambayo inatumika vibaya kwasababu anakiuka misingi na sheria za uanzishwaji wa Redio.hutumia Redio hiyo kufanya kampeni zake jambo ambalo ni kosa kisheria kutumia Redio yako kisiasa TCRA inabidi watupie jicho utendaji wa radio hiyo.

Hivi karibuni wakati wa ziara ya Mwenezi wa CCM Wilaya ya Namtumbo aliandaa vijana kupita kuhoji watu ili kuonyesha Mbunge wa sasa hakubaliki na alitumia site TV kufanya hivyo zoezi hilo halikufanikiwa kwasababu wananchi walichukua akili za kuambiwa wakachanganya na zao wakagoma kutumiwa.haikutosha Juma Homera kupitia Ndugu yake Mwalimu alimtumia kugawa pesa kwa vijana wa bodaboda ili wamzomee Mh Vita pindi Mh Makonda atakapo wasili Namtumbo lkn vijana wakala pesa yake na hawakufanya hivyo. kwa kuwa Mh Makonda alikuwa na taarifa za mpango huo wa Juma Homera alipo simama Namtumbo aliuliza mna tatizo na Mbunge wenu watu wooote wakasema hakunaaaaaa akasema mlindeni Mh Vita. Hivi kuna tija gani katika kumzomea mtu anayefanyakazi na viongozi wa Serikali na Chama Tawala kuchagiza maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya CCM? Hizi ni siasa za kitoto zinatakiwa kukemewa.

Hivi sasa RC Homera wa Mbeya yupo Songea mjini anafanya kampeni na anawaita Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Wilaya na Viongozi wa CCM Wilaya ya Namtumbo na kuwagawia pesa na kufanya nao vikao na wajumbe hao kinyumbe na kanuni na taratibu za chama bahati mbaya kwake wajumbe hao wakitoka wanasema yote waliyoambiwa na mimi ni mmoja wai. tmTunaiomba Takukuru Mkoa na Wilaya kufuatilia vitendo hivi na kumkamata muhusika na kumchukulia hatua kwani ushahidi wa watu walio pokea pesa na kalenda upo na tuko tayari kusema ukweli kukomesha vitenda vya kutuvuruga sisi tunataka maendeleo sio senti ukinunua sukari imekwisha. Cha ajabu eneo linalotumika kufanya vitendo hivyo vya ukiukwaji wa maadili na ushahidi mwingine mwingi wa dhahili na wakimazingira upo.

Amekuwa akieleza wajumbe kuwa katumwa na Mh. Rais kugombea jimbo . Hivi kweli inaingia akilini Mh. Rais kuwatuma wagombea ubunge wakafanye kampeni za kukibomoa chama na kudhalilisha kazi za utekelezaji wa ilani zinazoendelea nchi nzima?

Ktk safari hizo hutumia Gari la RC Mbeya na gari zingine za pale mkoani tunazo namba za gari hizo na majina ya madereva husika ambazo gari hizo zinatumika kwenye harakati zake za kisiasa kinyume na sheria.lkn hii inaonyesha ameshindwa kazi aliyopewa na Mh Rais ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya badala yake yupo katika harakati za Ubunge ambao muda wake kisheria haujafika hivyo kila mwezi anauacha mkoa anaohudumia kukimbilia kampeni za ubunge.

Hii inaonyesha ameshindwa kazi za mkoa wake sababu yuko kwenye harakati za kutafuta ubunge. Anakutana na wapiga kura na kuwapa pesa. Anatumia wahuni kuharibu kazi za Mbunge wa CCM kuonyesha chama hakijafanya kazi na Serikali yake. Hali ambayo itawagawa wana CCM . Namshauri atulie atumikie cheo alichopewa na Rais kwani ni heshima kubwa amepewa sio lazima mtu mmoja kulazimisha kutumikia vyeo viwili kwa wakati mmoja mkoa na jimbo lazima kimoja kitaumia kama tunavyo dhani Mbeya inaumia.

Uongozi wa chama Wilaya uwe makini na mtu anae eneza chuki zakutaka kuharibu kazi nzuri ya ilani ya chama iliyofanywa na Rais na Mbunge aliopo madarakani kwasasa. Ikemee wahuni kama wanao waza kwa tumbo nasio kichwa kwanini watoe rushwa ? .vyombo vya ulinzi na usalama tupieni jicho jambo hili kwa mtu anae haribu kazi kubwa iliyo fanywa na Serikali ya Rais Samia na chama cha mapinduzi kwakusema Namtumbo hakujafanyika lolote anamchonganisha Rais na wananchi lakini pia kwa kusema hayo anaonyesha RC Ruvuma na viongozi wa Wilaya hawajasimamia utekelezaji?

Yeye kwa akili yake anafikiri anamchonganisha mbunge na wananchi Kumbe utekelezaji wa ilani ni wa serikali ya ccm chini ya Rais Samia kwa kushirikiana na viongozi wa mkoa na Wilaya akiwemo Mbunge na Madiwani.
Acha wivu. Na wewe nenda.
 
Wewe mwenyewe ni kibaraka wa vita kawawa. Wewe ni mchumia Tumbo Pro max

Kwa taarifa yako unajisumbua bure. Vita sio mzawa wa Namtumbo na hana uchungu na maendeleo ya Namtumbo period. Vita hawezi kuwa mbunge tena wa Namtumbo kwa mwaka 2025 - 2030 lakini ufahamu kuwa mbunge ajaye pia anatokea kijiji Cha Mtakanini as a replacement ya Vita kawawa.

Hivyo basi sio Juma Homera Wala huyo vita kawawa wako ambao wataupata huo ubunge kwa 2025.

Kijana mzawa wa Namtumbo kutokea kijiji Cha Mtakanini amejipanga vema na hana hofu kwa hizo rafu zenu za kijinga.

Na wewe uache uchawaaa, unajidhalilisha kwa uchawa wewe mwalimu wa shule ya msingi
Mtakanini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom