A beach is a landform alongside a body of water which consists of loose particles. The particles composing a beach are typically made from rock, such as sand, gravel, shingle, pebbles. The particles can also be biological in origin, such as mollusc shells or coralline algae.
Some beaches have man-made infrastructure, such as lifeguard posts, changing rooms, showers, shacks and bars. They may also have hospitality venues (such as resorts, camps, hotels, and restaurants) nearby. Wild beaches, also known as undeveloped or undiscovered beaches, are not developed in this manner. Wild beaches can be appreciated for their untouched beauty and preserved nature.
Beaches typically occur in coastal areas where wave or current action deposits and reworks sediments.
Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi.
Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
Anonymous
Thread
beach
kazi
malalamiko
mamlaka
mbezi
mbezi beach
wafanyakazi
Je, unatafuta nyumba yenye eneo kubwa na fursa ya kuikamilisha kulingana na mahitaji yako? Hii ndiyo nafasi yako!
✅ Eneo: Mbezi Beach
✅ Ujenzi umekamilika kwa 80%
✅ Ukubwa wa kiwanja: Square mita 1,400
💰 Bei: TSh 600,000,000 (Mazungumzo yapo)
Usikose fursa hii ya kupata nyumba katika eneo lenye...
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni mradi wa waste water treatment. Kuna mambo mengi yanayoendelea hapa ambayo siyo sahihi, na hatuna...
Anonymous
Thread
beach
dar
haki
mbezi
mbezi beach
tusaidieni
ujenzi
wafanyakazi
walilia
waziri
waziri wa ujenzi
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?
Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo.
Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
✨Shule nzuri sana inauzwa
✨SQMT 5800 (heka1 na nusu)
✨Bei billion 1.5 maongezi yapo
✨Ina madarasa 14
✨Wanafunz 110
✨️Unauziwa na wanafunzi waliopo
✨️Location : bahari beach
✨️ Eneo lake linafaa kwa uwekezaji wowote
Hati miliki imenyooka sana Kutoka Wizara ya Ardhi
Anahitajika serious buyer tu...
Eneo lenye Nyumba Iinauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Eneo/Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema Coco Beach haijauzwa, bali serikali inaboresha ili kulipa hadhi eneo hilo na kudhibiti shughuli zisizokubalika kisheria.
"Vijana wengi waliopo pale coco beach hawana kazi hawana biashara wanazurura tu na wengine ni walevi wengine wanatumia...
Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.
In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu
Vikubwa vimeshauzwa vyote
Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo
Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM.
Kabla...
Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya Mwalimu Nyerere - Mikocheni.
Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks na una aina 3 za apartments 1,2&3 bedrooms...
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,
Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.
Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Position Overview
Job Title: Receptionist/Building Manager
Location: Dar es Salaam
Qualifications: Diploma in Business Administration or related field
Key Responsibilities
Reception Duties
Welcome residents and visitors warmly
Show apartments to prospective tenants
Prevent unauthorized...
Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi?
Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili ziwe safi?
Au kwanini ile Service Levy wasiwekeze kiasi kwenye usafi wa hizi Beach haswa nyakati za...
MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project.
Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
Polisi wa Australia wamesema baba na mwana waliotekeleza shambulio la mauaji Bondi Beach, Sydney, walichochewa na itikadi ya Islamic State.
Washukiwa ni Sajid Akram, 50, aliyeuawa baada ya kubadilishana risasi na polisi, na mwanawe Naveed Akram, 24, ambaye yuko hospitalini chini ya ulinzi na...
Wakuu.
Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress.
Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja.
Pamoja.
PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.