kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  2. idiomer

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Zogowale, Kata ya Misugusugu Kibaha Walimu hawana ofice wapo zaidi ya 50 viti havizidi 15

    Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha. Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi kibaha wapongeza mfumo wa e-Ardhi

    Kibaha, Pwani Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha na kuendelea kutumia mfumo wa kielektroniki wa e-Ardhi, unaorahisisha upatikanaji wa hati miliki za ardhi kwa muda mfupi. Kwa mara ya kwanza katika Halmashauri...
  4. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Habari kwako wewe Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa. Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni. Mimi kama mtu mzima huyu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale Kibaha Misugusugu

    Habari wanajamii, Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo la Misugusugu, Kibaha. Karibu na kiwanda cha Lulu Cement kina ukubwa wa 400sqm (16m kwa 25m). Kipo katika eno ambalo limepimwa na kupangwa, pia eneo ni tambarare . Umbali kutoka Morogoro Road ni 2.7km bei ni Shilingi milioni nne (4million)...
  6. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Eneo la Stand ya mabasi la Magufuli pakijaa, watahamishia wapi tena? Kibaha?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kibaha Maili Moja - Muheza tumeanza kupata huduma ya maji japo mara chache baada ya kupita miezi kadhaa

    Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate changamoto kubwa katika shughuli zetu za kila siku, lakini tunashukuru kwa sababu kilio chetu hatimaye...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kibaha Mfipa TZS 5.5M

    Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
  10. A

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi mtaa wa Sofu, wilayani Kibaha

    Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda Zegereni. Mtaa wa Sofu ulipimwa tangu tarehe 17/09/2015, lakini licha ya hilo, wananchi wanaendelea kuuziwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Watumishi wetu wanaoenda likizo hulipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA UMMA Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hamtaki kununua kiwanja changu nipate pesa ya mtaji ,?Ninauza kiwanja changu mwenyewe,kipo kibaha kwa mfipa.

    Bb
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu mwenyewe kipo Kibaha kwa Mfipa

    Kimepimwa kina sq merter za mraba 514 Hiki apa chini, kipo hapo matofali yalipo
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mfipa

    4
  17. sechala

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Shule nzuri ya msingi KIBAHA

    Habari wadau, Naomba kujua shule nzuri kitaaluma na kinidhamu kwa Kibaha. Kijana wangu yupo std3 nataka kumuhamisha shule hii aliyopo hapana.
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani. Bei Milioni 5.5

    T
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha kina sq merter za mraba 500+ kimepimwana kina bicon

    Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
  20. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Tuanze na Malori, yaishie Pwani kwenye Dry port , badala ya kupambana na wenye mabasi, kwenda Mbezi!

    Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
Back
Top Bottom