ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Coaster ya Milioni 334 Ruvuma vs Wanafunzi wanaokaa chini: Je, Viongozi wetu wana shida ya Vipaumbele au ndio "Kufuja Kodi" kwa Mgongo wa Utendaji?

    Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania. Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma yapata 'Coaster' Jipya kwa Tshs Milioni 334

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imezindua rasmi basi jipya lililogharimu kiasi cha shilingi milioni 334 za Kitanzania. Basi hilo limezinduliwa tarehe 18 Septemba 2026 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed. Hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika viwanja vya Ukumbi wa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Ruvuma azindua Coaster jipya lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania e-Ardhi: Serikali yaongeza ufanisi katika huduma za ardhi, Ruvuma

    Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi yameelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi, uwazi na usalama wa taarifa za ardhi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliotokea Ruvuma

    Home Jamvi Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Global Publishers September 14, 2021 5,900 views 0 Comments SHARE THIS: Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa kulipia Huduma ya kliniki kwa mama wajawazito zahanati ya lilahi (Songea- RUVUMA)

    Mama wajawazito wanalipia Tsh 10,000 Huduma ya kliniki (Zahanati ya Lilahi - Songea)
  9. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba Serikali iweze kufuatilia changamoto za ardhi zinazojitokeza katika maeneo ya mkoa wa Ruvuma, hususan Mtangimbole

    Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole. Inadaiwa kuwa baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji huuza maeneo au mashamba ambayo tayari yana wamiliki halali. Hata katika...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Tunduru Hospital - Mbesa iliyojengwa 2023 imeshakuwa na mashimo na kuharibika nakuhatarisha Watumiaji

    Barabara hii ni mpya na ilikamilika kujengwa mwaka 2023 chini ya usimamizi wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma. Hata hivyo, tangu kukamilika kwake imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali. Kwanza, barabara imejengwa kwa kiwango cha chini na ni nyembamba, jambo linalopunguza usalama na ufanisi wa...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli eti GSM ni mngoni kutoka mkoani Ruvuma.?

    Kama ni kweli Gharib Said Mohamed basi Songea ipewe hadhi ya jiji kwa ajili ya super billionaire GSM Gharib Said Mohamed ni moja ya billionea mkubwa sana ambaye anabishara nyingi pia ni mdhamini wa Yanga SC
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma vyafanyiwa usafi

    Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo mengi ya Namtumbo - Ruvuma maji yanatoka mara chache, muda mwingine yanakuwa machafu

    Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa kutekeleza shughuli zao za kila siku kwa urahisi kutokana na ukosefu wa huduma hiyo muhimu. Wakati mwingine...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana Ruvuma wapata mkopo wa bajaji bila riba

    13/05/2026 Vijana Mkoani Ruvuma katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepata mkopo wa Bajaji bila riba. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amewakabidhi rasmi kwa niaba ya Serikali ya awamu ya Sita chini Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ruvuma: Shule ya Msingi Miembeni (Mbinga Mji) hali yake ni mbaya sana, Miundombinu imechoka

    Shule ya Msingi MIEMBENI ipo Kijiji cha MIEMBENI, Kata ya Kitanda Halmashauri ya Mbinga Mji, hali halisi ni kuwa haishawishi kabisa suala zima la kufundisha wala kujifunzia. Madarasa hayana madirisha wala milango... Majengo ya madarasa ya shule hii ni kama magofu yaliyosahaulika, Wanafunzi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Raia wa kigeni akutwa na mashine bandia 60 za dubu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa taarifa ya kukamatwa kwa mashine bandia 60 za michezo ya kubahatisha pamoja na kumshikilia raia wa kigeni aitwaye Wang Renbiao (28) kwa tuhuma zinazohusiana na tukio hilo. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: CCM’s Lazaro Komba wins Peramiho parliamentary by election. Opposition parties congratulate INEC for "intergrity"

    The Returning Officer for the Peramiho parliamentary by election, Exavery Luyagaza, has declared Dr Lazaro Kiliani Komba of Chama Cha Mapinduzi CCM the winner after securing 69,002 votes, equivalent to 87 percent of all valid votes cast. The by election was held following the death of Jenister...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
Back
Top Bottom