silaa

Zubeen Garg is an Indian singer, music director, composer, lyricist, music producer, actor, film director, film producer, script writer and philanthropist. He primarily works for and sings in the Assamese, Bengali and Hindi-language film and music industries.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
  2. P

    Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
  3. chiembe

    Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

    Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali. Mama anatoaga second chance.
  4. chiembe

    Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  5. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  6. mwanamwana

    Waziri Silaa awajibu wanaosema anaingilia mahakama kutatua migogoro ya ardhi

    Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la kutafsiri sheria hivyo anachofanya ni sawa na kazi bure. Hivyo kumtaka kuanzia mahakamani katika...
  7. B

    Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

    WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg 11 March 2024...
  8. chiembe

    Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  9. chiembe

    Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini...
  10. Roving Journalist

    Waziri Silaa ataka wasajili wa hati kuacha urasimu na lugha chafu

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu. Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
  11. The Sheriff

    Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  12. chiembe

    Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  13. Shark

    Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  14. Lord denning

    Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  15. Erythrocyte

    Uko wapi ushahidi wa Jerry Silaa kukataa rushwa ili tumpongeze ?

    Kukataa rushwa kwa mwanachama wa ccm ni jambo jipya , ni maajabu na jambo lisiloaminika , Hata Dr Magufuli aliyejaribu kuwadanganya wanaccm wenzie kwamba hachukui rushwa , jambo hili lilimshinda . Baada ya mdogo wa Rostam Aziz kukamatwa na shehena ya Meno ya Tembo na mamia ya bunduki za kivita...
  16. chiembe

    Vita dhidi ya rushwa: Inawezekana mtu wa ngazi ya waziri Jerry Silaa akawa hajui mahala pa kutoa taarifa za rushwa ili awakamatishe wahusika?

    Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa. Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego? Walijadiliana halafu...
  17. Pfizer

    Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  18. Influenza

    Waziri Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta na kusimamisha matumizi ya Kituo cha mafuta cha Barrel cha Mikocheni

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
  19. K

    Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
Back
Top Bottom