Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa
Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala yake, aliuliza swali lililogusa kiini cha mjadala wa makazi nchini.
Hivi kweli mwananchi wa kipato...
Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa.
Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
Hoja ilivyokuwa ~...
Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia?
Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi!
Ni miaka...
Anonymous
Thread
barabara
haupo
kibaha
kimya
kupitisha
makazi
morogoro
mpaka
mradi
njia
tanroads
Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji.
Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali.
Leo viongozi wenzao...
Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa.
Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika
used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sunday.
Russia's army later confirmed it had used the missile.
The EU's top...
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu.
Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu.
Nyasi hizo zimekuwa zikizua wasiwasi mkubwa kwa wakazi kutokana na urefu na wingi wake, hali inayodaiwa kutoa...
Anonymous
Thread
hofu
makazimakazi ya watu
mkulima
mtaa
tarime
usalama
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika.
Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
Anonymous
Thread
church
kanisa
katika
kero
makazimakazi ya watu
muziki
sauti
wahusika
Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni.
Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza mafuta kwa wafanyabiashara ya “sheli Bubu” na mafuta hayo yanahifadhiwa katika nyumba za makazi ya...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu.
Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
Anonymous
Thread
bandari
bandari kavu
hatari
kero
kigamboni
magogoni
makazimakazi ya watu
mtaa
wananchi
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026.
Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi ni Mtanzania bara.
Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata...
vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi
Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii husababisha nyufa kwenye kuta na msingi.
Haya mambo 8 muhimu ya kuzingatia ukijenga kwenye udongo...
Maisha yana mambo mengi sana, upatapo nafasi na wasaa wa kumsaidia mtu usisite kufanya hivyo.
Ninatoa fursa ya makazi kwa mtafutaji/mpambanaji (Jinsi yoyote), mwenye tabia njema, mwenye mtaji na shauku ya kufanyia harakati zake Dsm na hajui aanzie wapi kwa upande wa makazi.
NB: Awe na mtaji.
Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati.
Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo:
❌...
Anonymous
Thread
barabara
kahama
kahama mjini
kati
kero
maeneo
maeneo ya makazimakazimakazi ya watu
mjini
ubovu
ubovu wa barabara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.