madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  2. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  5. E

    JamiiForums Tanzania AFRODAD, SADCOPAC zaungana kuimarisha usimamizi wa Bunge kwa Madeni ya Umma

    MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) zimeingia rasmi katika ushirikiano unaolenga kuimarisha usimamizi wa Bunge, kuhamasisha...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Club Imeuzwa, Lakini Madeni Yameachwa? Nairobi City Stars Players Wataka Majibu

    Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa. Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Madeni ni Kifungo Kinachoweza Kuvunjika

    Ndugu yangu msikilizaji na msomaji, Hakuna mzigo mzito unaoweza kumnyang’anya mwanadamu amani ya akili, utulivu wa usingizi, heshima katika jamii, na furaha ya ndoa kama kifungo cha madeni yasiyolipika. Watu wengi walianza kukopa wakiwa na ndoto nzuri za kukuza biashara, lakini kwa kukosa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TANAPA halipi madeni kwa wakati kwa watoa huduma wake?

    Taasisi za Serikali, hasa TANAPA, zinapaswa kuboresha uwajibikaji katika malipo ya watu wanaowafanyia kazi. Inasikitisha kuona mtu anafanya kazi na TANAPA kwa miaka 4–5, lakini anastaafu bila kulipwa deni lake hadi sasa. Kinachoumiza zaidi ni kuona TANAPA ikiendelea kutumia fedha nyingi katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali Itusikie wazabuni, tunaidai TEMESA Morogoro tangu 2017

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro. Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai. Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma...
  11. Mjukuu wa mama

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa kwa madeni

    nimekata tamaa,madeni mengi ,, nisaidien dawa inayoua na inapatikana kwa uharaka
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  13. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

    ...
  14. YoungPastor

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 Afrika zenye madeni makubwa zaidi

    Zifuatazo ni nchi za Afrika zenye madeni makubwa zaidi ya IMF mwaka huu . 1.Misri 7,245,182,524 2.Cote D'Ivoire. 3, 603,438 ,776 3.Kenya. 2, 873,418, 234 4.Ghana 2,728,468,500 5.Angola 2,437,716,676 6.DRC 2,196,550,004 7.Ethiopia 1,764,502,000 8.Tanzania. 1,335,730,000 9.Zambia 1,271,660,000...
  15. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha. Madeni na kesi vyamwandama

    Ukishindwa kuwa na nidhamu kwenye fedha basi sbiri fedha ikufundishe nidhamu Na kilichobaki kwa sasa mostly ni ku act, kulazimisha aonekane bado ana fedha, kitu kinachozidi kumuingiza kwenye madeni. Mayweather, ambaye katika maisha yake ya ubondia alikusanya zaidi ya dola bilioni 1.2, sasa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni yake

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka 2026. Matokeo ya tathmini yalionesha kuwa Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kati ya mataifa 10 yenye madeni makubwa Afrika

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
  19. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania NSSF: Msamaha wa Tozo za Madeni kwa Waajiri

    NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo; Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mpimbwe inawatesa Wazabuni kwa kutolipa madeni

    Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA, jambo ambalo ni kinyume na sheria pamoja na taratibu. Tunaziomba mamlaka za juu kuchukua hatua kwani...
Back
Top Bottom