Salaam wakuu.
Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu.
Nawasilisha
Kama ilivyo tangazwa hapo awali,
Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania.
Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.
Asante.
Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?
Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto.
Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal.
Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa mwa vituo vikuu au vitovu vya usafirishaji wa abiria!
Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke.
Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji?
Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi...
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Nchini Tanzania (TATOA), Elius Lukumay, amesema wamiliki wa malori wako tayari kuyapaki magari yao endapo mamlaka zitaendelea kuwachukulia hatua wasafirishaji bila kuwashirikisha katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili.
Akizungumza na...
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam.
2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji.
3...
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA), Elius Lukumay amesema wanapinga kamata kamata ya malori inayoendelea, na kwamba wako tayari kupaki malori kama hali hiyo itaendelea.
Soma Pia: ~
Dar - Malori yanasababisha foleni kubwa asubuhi njia ya Kigamboni kuelekea Posta...
Inasemekana Malori na ICD zote kuhamishiwa Bandari kavu ya Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka Treni kule.
#Magu- mtanikumbuka.
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni!
Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Wakili Kiomoni Kibamba amesema magari makubwa hayatakuwa yakiruhusiwa kushusha mizigo katikati ya Jiji la Mwanza wakati wa mchana, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa magari na kuwezesha Wananchi kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Akizungumza...
Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku.
Hii...
Anonymous
Thread
daladala
kituo
kituo cha daladala
kwa yusuph
malori
mbezi
mbezi mwisho
mwisho
yusuph
Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.
Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa.
Nature, staa wa Sitaki Demu na Hakuna Kulala, ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juni 20, 2026.
Pia soma:
~ Hivi...
Sisi wakazi wa Isamilo, Mtaa wa Maendeleo, tunawasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu kero kubwa inayotukabili katika eneo letu la makazi.
Kuanzia mwezi Aprili, 2026, jirani yetu mmoja amefungua gereji isiyo rasmi (garage bubu) ndani ya mtaa huu wa makazi, na ameigeuza kuwa sehemu ya kupakia na...
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua.
Barua...
Anonymous
Thread
kero
maafisa
magari
malori
njia
tanesco
temeke
umeme
Hali ya usalama barabarani imeendelea kuzorota huku malori ya kubeba mchanga yakihusishwa moja kwa moja na ajali nyingi zinazogharimu maisha ya wananchi wasiokuwa na hatia. Kila siku, barabara zinageuka kuwa hatari zaidi, huku madereva wa malori haya wakionekana kupuuza kabisa sheria zilizowekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.