mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mapya alie mpiga risasi mkewe, yaibuka, wadau wafunguka kilicho kua nyuma

    Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mapya kifo cha dude

    'LULU' ALIKUWA AKILINDWA NA KOMANDO? Huyu ndiye Senelisiwe Magagula, aliyekuwa msaidizi binafsi (mlinzi) wa Lucy Muteke (Lulu) aliyekuwa mke wa Wicknell Chivayo. Magagula alikuwa miongoni mwa watu watano waliouawa katika ajali ya Helikopta iliyotokea jioni ya tarehe 30 Septemba 2026 eneo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuweka majina kuwasadia wazazi VIJACHO, na wanaotafuta majina mapya. Taja jina, jinsia, asili na maana yake

    Ashe-Engai Jinsia: me Asili: Maasai Maana: Ashe = Ahsante, Engai = Mungu
  5. O

    JamiiForums Kenya “Mhubiri au Mwindaji wa Wafanyabiashara? Madai Mapya Yamrudisha Dishon Mirugi Kwenye Spotlight”

    Mhubiri Dishon Mirugi amejikuta tena katikati ya mjadala mtandaoni baada ya mfanyabiashara Idah Arunga kuchapisha ujumbe anaodai unaonyesha pastor huyo akijaribu kuanzisha uhusiano wa kimapenzi naye. Arunga, ambaye anafanya biashara ya jumla ya mitumba, anadai alilengwa kutokana na mafanikio...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

    Familia ni muhimu. Cc Seran
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wazindua Majukwaa Mapya ya Mawasiliano

    Huduma ya Polisi nchini imezindua mfumo mpya wa mawasiliano unaolenga kuimarisha namna inavyowasiliana na wananchi na kutoa taarifa rasmi kwa umma. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo imani ya wananchi kwa taasisi za usalama imekuwa sehemu muhimu ya mjadala wa kitaifa. Naibu Inspekta Jenerali wa...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania HOJA Mzee aliyedai kudhurumiwa na TANROADS asema "Maisha yangu yako hatarini, napata vitisho, nisaidieni"

    https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0 Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo mkoa wa Katavi amesema anaidai kiasi cha Tsh milioni mia nane na TANROADS na kwamba ameshazunguka...
  9. Baba wa Mapaka

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubovu wa barabara ya Kibaha-Pangani–Machinjio Mapya

    Nawasalimu, Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya. Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  11. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO DART imepandisha Nauli ya Mabadi Mapya MBEZI-KIVUKONI/GEREZANI bila taarifa

    Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku. Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani kilomita 12, huku safari ya Kimara hadi Kivukoni/Gerezani ikiwa Tsh 750 na baada kupandishwa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mabasi mapya 150 ya MOFAT yakwama kupata njia | kafulila aingilia kati

    Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mradi wa mwendokasi na athari zake kwa wananchi pamoja na mwekezaji. Hata hivyo, Kampuni ya Mofat...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Brigedia Mohammad Naghdi amesema Vita ikirejea tutawapiga kwa makombora mapya, yaliyotengenezwa mwezi huu?

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema: “Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi

    Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi Source. Gazeti la mwananchi mtandao Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee
  19. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
Back
Top Bottom