Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,461
29,158
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
 
Vituo vya mafuta kwa Dar es salaam ni vichache sana ambavyo havipo pamoja na makazi ya watu...
 
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Ishu ni makazi ya watu?
 
Watu bwana...

Kwa hiyo hivyo vituo vijengwe porini ambako hakuna watu...???

Watu ndo wenye magari, inatakiwa wajaze mafuta... sasa vituo vikajengwe wapi kusiko na watu????
Huu ndio ujinga WA watanzania, huduma ya kuweka mafuta kwenye Gari Sio uhalifu, mbona Gari imejaa petrol inalazwa jirani na nyumba Yako!? Mind set ya umaskini, atokee Kiongozi WA juu azuie huu uonevu unaofanywa Kwa wenye vituo vya mafuta, mwanzoni nilikuwa naunguza mafuta km tatu kupata kituo, angalau Sasa km moja!?? Kwani hivi vituo shida ni nini hasa!? Waziri badala ya kufanya jitihada za kupanga miji yetu, wao wanatafuta sifa za Kienyeji
 
Hakuna shida vituo kuwa kwenye makazi ya watu kama taratibu na codes zote zimezingatiwa. Huwezi Jenga vituo nje ya mji watu waendeshe mbali kufuata mafuta tu. Vituo vya mafuta navyo ni huduma tatizo ni kufuata taratibu.
Hayo mapori yasiyokuwa na Watu yapo wapi!? Hizi ni biashara zinaongeza wigo WA Kodi na ajira, Mkuu WA mkoa yupo busy na mambo yasiyo na msingi, waziri WA ardhi tunamjua tangia meya Temeke, tunatakiwa kuwafanyia watanzania Mambo makubwa na Sio kuwanyanyasa wafanyabiashara with no reason
 
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Njia ya wazo ....lake oil zoote miaka hii 5 iliyopita ni balaa tunaomba ufafanuzi......utavibomoa ??tunasubiri tamko
 
Hayo mapori yasiyokuwa na Watu yapo wapi!? Hizi ni biashara zinaongeza wigo WA Kodi na ajira, Mkuu WA mkoa yupo busy na mambo yasiyo na msingi, waziri WA ardhi tunamjua tangia meya Temeke, tunatakiwa kuwafanyia watanzania Mambo makubwa na Sio kuwanyanyasa wafanyabiashara with no reason
Kufuata sheria ni kuwanyanyasa? Tumia akili badala ya makalio kufikiri
 
Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia.

Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Hiki kilishajengwa miaka kadhaa nyuma. Yaani Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.

Hii ni mifano tu, lakini vituo vya hivi viko vingi tu apitie na huko pia. Asiende Mikocheni sababu tu kina Anna Tibaijuka wamelalamika.
Vile vya mjini-kati je? Katikati ya maghorofa marefu na hata jirani na ofisi za serikali.

View: https://youtu.be/ngxhRtBOozo?si=AUpx_hZfguTdJcFb
 
Back
Top Bottom