Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko.
Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.
Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za...
Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status??
I'm just asking.
Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi..
Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika..
Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
barabara
gwajima
jeshi
jeshi la polisi
kulinda
maji
makazi
mali
polisi
raia
uchimbaji
ujenzi
ujenzi wa barabara
usalama
usalama wa raia
visima
visima vya maji
wajibu
Kuna wimbi kubwa sana la kutumia pesa nyingi kununua magari ya kifahari ma V.8 kwa ajili ya viongozi hadi makatibu tawala (W) pia.
Wakati Hassan El Bashir na wenzake walipo ondolewa madarakani makosa ya Ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kule Sudan( ambayo viongozi wengi hapa wanayo)...
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa.
Binafsi nakubaliana na huu...
CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam.
Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
Habari wana JF
Naomba kupata uelewa wa mfumo wa makazi wa NaSA. Nina mtoto ananiuliza hiyo kitu wanasema inahitajika katika maombi ya mkopo chuoni, sasa sielewi ndio nini, mwenye uelewa anielekeze
Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani......
The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania.
Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo ibada na maombi kutoka baadhi ya makanisa yanapita kiwango na kuwa KARAHA, hasa...
Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi,
kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza
Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya miaka 5 mpaka 7 ijayo.
Eneo unaloweza kulea familia comfortably na bei za viwanja ni za kizalendo
Habari za wakati huu.
Nimeona nichangie jambo moja kuhusu msamiati wa kipagani ulioingizwa katika midomo ya baadhi ya wafuasi wa dini za kiislamu na kinaswara (kikristo) kwa kusema kuwa kaburi ni nyumba au makazi ya milele!
Mara nyingi maneno haya yamekuwa yakitolewa na watangazaji...
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈
Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.