Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na matumaini makubwa kuwa ujio wako ungekuwa mwanzo wa kupata ufumbuzi wa migogoro ya ardhi inayowatesa kwa...
Kwako Mheshimiwa waziri wa ardhi na makazi mfumo wa wizara yako unaopatikana kwa njia ya mtandao HAUKO SAWA ndiyo maana tumeshindwa kupata control number kwa ajili ya kulipia malipo ya umiliki wa ardhi ya kila mwaka.
Hati ya Umiliki ardhi ninayo nahitaji kufanya malipo, Naomba uingilie kati...
"Ninawasihi Watanzania wote, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua ardhi, hakikisheni mnafika katika ofisi za ardhi kwa ajili ya kuhakiki uhalali wa eneo husika'.
Serikali imejipanga kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na salama za ardhi, hivyo ni muhimu kufuata taratibu zilizowekwa ili...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amewatahadharisha viongozi wa vijiji nchini kuacha kujihusisha moja kwa moja na uuzaji wa ardhi bila kufuata taratibu za kisheria, akisema tabia hiyo imekuwa chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo, leo Alha Mei 28, 2026, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, amebainisha kuwa hadi kufikia tarehe 15 Mei, 2026, wizara imekamilisha ukaguzi wa jumla ya...
Kilio cha wanyonge sisi Wakazi wa Kihonda Yespa, Manispaa ya Morogoro nyuma ya tuta la mwendokasi, tunaomba maafisa ardhi waje kutatua migogoro mikubwa huku mtaani kwetu, kuna kiongozi anasema yeye ni Diwana Kata ya mabibo na ndiye Naibu Meya Manispaa ya Ubungo.
Kaja maeneo tuliojenga tangu...
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Waziri wa Ardhi Deogratius J. Ndejembi leo katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa amaekabidhi hati kwa klabu ya Yanga ili waweze kujenga uwanja wao pale Jangwani
Waziri wa Ardhi Unahujumiwa na watumishi wa idara ya ardhi pale Dodoma Jiji
Imekuwa ni kero kubwa sana kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo ya kupata hati kwenye ofisi za jiji Dodoma.
Rafiki zangu wengi wamenunua viwanja Dodoma lakini toka mwezi wa tano wanafuatilia kupata...
Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
# Wizara imeandaa programu maalum ya uendelezaji upya maeneo yaliyochakaa katika miji mbalimbali nchini. Programu hii itasaidia kuboresha huduma za msingi katika maeneo hayo na hivyo kuyawezesha kuchangia ipasavyo katika Pato la Taifa.
# Programu hii imelenga kuboresha maisha ya wakazi...
Assalamu alaikum,
Mheshimiwa Waziri wa Ardhi,
Nimekuja huku kukuomba kwa heshima kubwa—tafadhali wekeni TAKUKURU kwenye haya mabaraza ya ardhi.
Watanzania wengi wamepoteza haki zao kwenye haya mabaraza.
Haitoshi, wengi wameyafanya kuwa sehemu ya biashara zao—wale wenye hela ndio wanapewa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa katika kiwanja namba 1/31 kilichopo Block D, Iyumbu North jijini humo.
Waziri Ndejembi ametoa agizo...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya wananchi wa eneo la Lunyanywi na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi.
Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kusimamia sheria na kutoa maamuzi sahihi kuhusu migogoro ya ardhi.
Pia amesisitiza...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi.
Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali imeongeza kasi kubwa sana kuhakikisha watu wanapata hati zao. Awamu hii ya sita imekuwa mstari wa mbele...
Niliwahi laani sana hawa mapapa wanaopiga viwanja vya watu
Mbaya zaidi ukifwatilia utakuta wizaran kuna wahuni kadhaa wameshiriki kugawa mara ya pili kiwanja kimoja
Leo EATV waziri kafikishiwa malalamiko ya kadhaa akaita maafisa wa ardhi
Akakuta mmoja ameshiriki 💯 kugawa mara ya pili kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.