dawasa

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa ni Sinza kwa Mwaibula, haya ni mabomba ya DAWASA yamepasuka saiv takribani miaka sasa lakini mamlaka haijawahi kuja kurekebisha

  2. M

    JamiiForums Tanzania DAWASA wametoa msamaha wa faini ya huduma ya kurejeshewa Maji kwa kulipa deni tu kuanzia Oktoba 10 hadi 31, 2026

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DAWASA warekebisha bomba karibu na Kituo cha Daladala Gongo la Mboto lililovuja zaidi ya miezi miwili

    Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeshughulikia changamoto hiyo. Mafundi wa DAWASA wamefika eneo la...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA Yawashirikisha wafanyabiashara udhibiti upotevu wa maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha magari, wafyatua matofali na watunza bustani, kushiriki katika kudhibiti upotevu wa maji na kulinda miundombinu ya huduma hiyo. Wito huo umetolewa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA kufanya matengenezo kinga, maji kukatika kwa saa 12

    ‎Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza kusitishwa kwa huduma ya maji kwa takribani saa 12 katika maeneo ya Dar es Salaam na Pwani, kesho Alhamisi, Septemba 10, 2026. ‎ ‎Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Bi Everlasting Lyaro amesema huduma itakatika...
  8. Malaki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

    Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo. Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi. DAWASA imeeleza “Changamoto hiyo tayari imefanyiwa kazi kikamilifu, pichani ni eneo la TANDAMTI...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mpiji Magohe hatuna maji licha ya DAWASA kupitisha bomba miezi minne iliyopita

    Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni miezi minne imepita. Tunaomba mamlaka husika kulifuatilia suala hili na kuhakikisha huduma ya maji...
  12. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaanza msako kwa wanaojiunganishia maji kinyemela

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya maji yaliyokuwa yakitumika katika shughuli za kilimo cha mbogamboga ambayo imeingiza hasara Mamlaka ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafika Mikocheni kutatua changamoto ya Majitaka

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imetatua changamoto ya utiririshaji majitaka iliyotokea katika mtaa wa TPDC Mikocheni na kutoa elimu juu ya utunzaji na matumizi sahihi ya miundombinu ya majitaka kwa Wakazi wa eneo hilo ambao wameunganishwa na mfumo wa Majitaka wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawaandaa wanafunzi kulinda miundombinu ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze Wilaya ya bagamoyo Mkoani Pwani Lengo la elimu hii ilikuwa ni kuwaelemisha wanafunzi umuhimu wa maji...
  15. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaimarisha ufuatiliaji wa mto Ruvu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeongeza mikakati ya kuhakikisha uimarikaji wa huduma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa vyanzo vya maji, ili kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa ya uhakika kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani. Afisa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha mtandao wa majitaka katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hususani eneo la Ilala na Kariakoo, kwa lengo la kuhakikisha mifumo ya majitaka inafanya kazi kwa ufanisi na mazingira yanakuwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaja na suluhisho huduma Tabata bandari na Ubaya Ubaya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo mbalimbali ya mtaa huo. Akizungumza katika kikao...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yateta na Wanwake Bonyokwa, yawakumbusha umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imewakumbusha Jamii juu ya umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji ili kujenga jumuiya inayothamini huduma ya Maji kwa vizazi vya sasa na vizazi vijavyo. Hayo yamesemwa kwenye tukio la Bonyokwa Women Gala 2026, lililoandaliwa na...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaja na suluhisho huduma mitaa ya Tabata

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo mbalimbali ya mtaa huo. Akizungumza katika kikao...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ucheleweshaji wa majibu ya DAWASA kwenye michakato ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA)

    Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa majibu kutoka DAWASA kwa barua za maombi ya ushauri na maoni kuhusu miradi inayofanyiwa Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA). Barua tunazowasilisha katika ofisi za DAWASA Mwananyamala huchukua hadi miezi sita bila majibu, licha ya kufuatilia mara kwa mara...
Back
Top Bottom