mbezi beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa kisasa wa majitaka Mbezi Beach kukamilika Oktoba 2026

    Ujenzi wa mtambo wa kuchakata majitaka Mbezi Beach, uliopo Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 80 na hivyo kuwa mbioni kukamilika. Mradi huo wa mfano na wa kipekee nchini unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Prime 3rd beach plot for sale, located Mbezi beach, Kidimbwi

    PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE Location: Mbezi Beach, Kidimbwi Plot Size: 2,509 SQM Fenced: with Planted Palm Trees Title Deed: Ready Suitable for: Apartments, Villa, Residence & More Price: TZS 1.9 Billion - Negotiable 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania *PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE* 🌴🌊 📍 Location: Mbezi Beach, Kidimbwi 📏 Plot Size: 2,509 SQM ✅Fenced: with Planted Palm Trees ✅Title Deed:

    PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE 🌴🌊 📍 Location: Mbezi Beach, Kidimbwi 📏 Plot Size: 2,509 SQM ✅Fenced: with Planted Palm Trees ✅Title Deed: Ready ✅Suitable for: Apartments, Villa, Residence & More Price: TZS 1.9 Billion - Negotiable 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #viral #video...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya fukwe za Bahari Mbezi Beach (Jangwani) haziridhishi; Tutaenda na hali hii AFCON?

    Kwa takribani siku tatu nilikuwa kikazi kwenye hoteli moja iliyopo Mbezi Beach. Jumapili, Agosti 16, 2026, kabla ya kumaliza siku zangu za kuwepo hapo, nilijipa muda wa kutembelea fukwe za bahari za Mbezi Beach, upande wa chini wa mitaa ya Jangwani. Nilikuwa sijafika maeneo hayo kwa takribani...
  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Shule inauzwa mbezi beach upande wa chini clean title died sqmt 9,000 price billion 7

    SHULE INAUZWA MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI CLEAN TITLE DIED SQMT 9,000 PRICE BILLION 7 #houseforsale #realestatebroker #tanzania #dalali #viral_video_tiktok_treding
  6. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Beach resort hotel for sale in Mbezi beach - Whitesand road

    BEACH RESORT HOTEL FOR SALE IN MBEZI BEACH - WHITESAND ROAD 60 Rooms all en suite 2 Conference Halls Swimming pools 2 Big Restaurant Standby Generator Has more than 60 Employees Plot size: SQM 16,000 Document: Title Deed Price USD $7m negotiable Call/WhatsApp +255758844717
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Hoteli yenye vyumba 60, mabwawa 2 na kumbi za mikutano inauzwa Mbezi Beach

    Hoteli inauzwa White Sand Road 60 Rooms all en suite 2 Conference Halls Swimming pools 2 Big Restaurant Standby Generator Has more than 60 Employees Plot size: SQM 16,000 Document: Title Deed Price USD $7m negotiable Call/WhatsApp +255758844717
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la maji Mbezi Makonde Dar limetimiza mwaka mmoja sasa, maji yanatoka kwa nadra

    Tatizo la maji katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde limefikia mwaka mmoja tangu Mei mwaka jana. Maji hutoka kila Jumanne na hayakai zaidi ya saa tatu. Yasipotoka siku hiyo, wananchi hulazimika kusubiri hadi wiki inayofuata. Pamoja na huduma hiyo kutokuwa ya uhakika, bili za maji zinazoletwa ni...
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Beach Ramada. Bei ni Dola milioni 1.3

    Nyumba Ya Gorofa 4 bedroom all ensuite Swimming pools, GymSolar Servants quarter CCTV Camera Electrical Fence Plot area 1,800 sqm With clean title deed Hati safi ya wizara Asking Price USD 1.3M Call/WhatsApp +255758844717
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu

    Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu karibu na kwa Dr. Hiza. Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025. Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BCEG Mbezi Beach tunashukuru Mamlaka Kufanyia Kazi Malalamiko yetu

    Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi. Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
  12. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mbezi Beach

    Je, unatafuta nyumba yenye eneo kubwa na fursa ya kuikamilisha kulingana na mahitaji yako? Hii ndiyo nafasi yako Eneo: Mbezi Beach Ujenzi umekamilika kwa 80% Ukubwa wa kiwanja: Square mita 1,400 Bei: TSh 600,000,000 (Mazungumzo yapo) Usikose fursa hii ya kupata nyumba katika eneo lenye...
  13. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Waziri wa Ujenzi na RC wa Dar tusaidieni Wafanyakazi BCEG Mbezi Beach tunakatwa NSSF lakini hazipelekwi

    Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni mradi wa waste water treatment. Kuna mambo mengi yanayoendelea hapa ambayo siyo sahihi, na hatuna...
  14. complex31

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA, Maji yana viambatanisho gani?

    Habari, Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya muda kuna mchanga/ udongo “una-Settle” kwa chini kwa chombo ulichokikingia. Mbali na hayo mimi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach pamepangiliwa vizuri. Wizara ya Ardhi kwanini hamuwezi kusimamia maeneo mengine yakapangika hivi?

    Naangalia aerial view ya Mbezi Beach naona pamepangiliwa vizuri Kilichobaki ni Kuweka barabara za lami mitaani kote Kuweka taa za barabarani Kuweka closed drainage system Kila mtaa Tanzania ungepangika hivi ingependeza sana Aerial view:
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya mtaa Mbezi Beach Ndumbwi aongoza wananchi kuzima mto kwenye nyumba iliyokuwa ikiungua

    Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ndumbwi, Mbezi Beach kata ya Kawe amefanya kitendo cha kijasiri kwa ku mobilize wananchi kuzima moto nyumba iliyokuwa inaungua. Mwenyekiti huyo, Shabami Muya mara baada ya kusikia moto sehemu ya barabara ya kuelekea Baraza la...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Lukuvi wangekuwa wanaishi majimboni mwao kusingekuwa na foleni ya kufa mtu leo Mikocheni, Mbezi Beach!

    Wakuu, nimejawa na hasira tu na hii foleni kuanzia Mikocheni mpaka Mbezi Beach, kumeshona balaa, ukisogea hatua moja ndo unalala hapo hapo mpaka unasahau kama upo kwenye chombo cha usafiri Yote sababu Mwigulu na Lukuvi makazi yao ni Mbezi Beach. Hao wananchi kwenye majimbo yao wanahudumiwa saa...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach Kuna nini au ni baruti?
  20. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach plot for sale

    Mbezi beach plot for sale SQM 2800 Price. 400 millions 0742892195 Call WhatsApp #tanzaniarealestate #mbezibeachplotforsale#viwanja#mbezibeachviwanja#plots#tanzaniaplots#realestates#viwanjambezibeach#viwanjavilivyopimwa#
Back
Top Bottom