Kipi ni kipaumbele kati ya nyumba ya makazi vs biashara?

Dodoma moja

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
307
177
Msaada wakuu
Kati ya nyumba hizo mbili ipi itangulie kwa mtu anaejitafuta? Mfano mtu ana kiwanja ambacho kinafaa kwa yote mawili either makazi binafsi or biashara (Fremu za maduka, Lodge, appartments) kipi utamshauri aanze nacho ukizingatia hawezi kwenda na vyote viwili at once ni lazima akamilishe kimoja then ajitafute kwanza ndio aanze kingine
 
Kwa mimi ningeanza na biashara. Na mpaka sahivi nina mpango huo. Nimeona juzi kuna mdau kaeleza namna alivyoweza kujenga lodge kwa milioni 110 na hesabu zinaonesha hela yake itakuwa imerudi baada ya miaka mitatu. Akiamua kujenga nyumba anajenga kwa kutumia faida ya biashara hivyo hatumii nguvu.
 
Listen to your gut!

Sikiliza sauti ya ndani yako inakuambia nini!

ukijenga nyumba kabla ya biashara wewe ni mlinzi zaidi!ukianza biashara wewe ni mshambuliaji!!
 
Jenga nyumba ya kupanga utanishukuru baadae, ila Frame ni uchawi unless upo location nzuri ila nyumba ni popote kitachokucost ni bei yake tu ya upangishaji
 
Kwa mimi ningeanza na biashara. Na mpaka sahivi nina mpango huo. Nimeona juzi kuna mdau kaeleza namna alivyoweza kujenga lodge kwa milioni 110 na hesabu zinaonesha hela yake itakuwa imerudi baada ya miaka mitatu. Akiamua kujenga nyumba anajenga kwa kutumia faida ya biashara hivyo hatumii nguvu.
Mambo ya kilimo cha matikiti, dogo acha "kusikiliza" ati fulani kafanya hivi kaweka pale na hivi na vile akapata faida miaka kadhaa tu. Kwa ground mambo ni tofauti SANA. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO DOGO.

I.e kuna lodge zimejengwa na kudoda
 
Duh
 
Kwa mimi ningeanza na biashara. Na mpaka sahivi nina mpango huo. Nimeona juzi kuna mdau kaeleza namna alivyoweza kujenga lodge kwa milioni 110 na hesabu zinaonesha hela yake itakuwa imerudi baada ya miaka mitatu. Akiamua kujenga nyumba anajenga kwa kutumia faida ya biashara hivyo hatumii nguvu.
wapi hapo kwa 110M
 
Back
Top Bottom