kutolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Novak Djokovic atoa machozi baada ya kutolewa US Open

    Novak Djokovic alishindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya kupoteza mchezo wa raundi ya kwanza ya US Open dhidi ya Muargentina Mariano Navone, katika kile kilichoonekana kuwa ishara nyingine kwamba umri unaanza kumfikia bingwa huyo mwenye miaka 39. Mshindi huyo wa mataji 24 ya Grand Slam...
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  3. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ripoti ya Infotrak imeonesha kuwa Edwin Sifuna anaongoza kwenye orodha ya Maseneta

    Mchoro unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii unadai kuonyesha “Senators Performance Index 2026”, yaani orodha ya maseneta 47 nchini Kenya kulingana na utendaji wao, inayodaiwa kutolewa na kampuni ya utafiti ya Infotrak Research & Consulting. Kwenye mchoro huo, Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Uamuzi kuifungia CHADEMA kufanya siasa kutolewa Agosti 28

    Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri. Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FIFA imeidhinisha mgao wa Tsh. Trilioni 1.9, kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya mashindano hayo

    FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo. Kati ya kiasi hicho, dola milioni 655 zitatolewa kama zawadi kwa timu 48 zitakazoshiriki, ikiwa ni ongezeko la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu ili kutolewa haki zilizonyimwa duniani

    Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha Al-‘Adl, yaani haki ya Allah iliyo kamili, isiyo na upendeleo wala kosa. Allah anasema: “Na...
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pamoja na kuwa na uwezekano wa watu Kutolewa Kafara, Naikataa Ripoti ya Chande

    Na.M M Mwanakijiji Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea tutaifanyia kazi' natangaza kuikataa ripoti nzima na mapendekezo yake. Ni hilo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imeeleza kuwa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu, mita za maji 266 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 37.2 zimeibwa hali inayopelekea hasara kwa mamlaka hiyo na usumbufu kwa wateja wake. Hoja ya wizi wa...
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League Inaendeleaje? Sijaifuatilia baada ya Kutolewa

    Nimesikia kuwa Al Ahly na Pyramid wameshatupwa nje. Vilevile Mamelodi wametwangwa kichwa na Stade Malien. Je, kuna taarifa zaidi?
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Gani ukisaidiwa kutolewa nguo zako kwenye kamba

    Mko poa wakuu, Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!? Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Afcon, Morocco ataishia robo fainal na kutolewa nje

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Atatoka mapema sana LONDON BOY
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe umeitwa kutolewa uchafu masikioni ili usikie

    Sababu ya kiburi chako kuona unaweza. Sasa uliposikia USA wamekunyima vijiela ulivyosema uvitaki wakapewa wengine juzi. Wamekuita kukusalimia ikulu ukapigwa za uso maana unatakiwa ukubali maandamano la sivyo unakwenda shimoni. Jambo lengine alilojitetea kuwa anataka kukaa na chadema mezani...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kutoweka kwa Polepole kutolewa Oktoba 24, 2025

    Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi lile Disco la Msigwa la jana baada ya Taifa Stars kufungwa na kutolewa lilikuwepo?

    Mnijibu nijue.
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

    Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa. TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kura Za Maoni Kufanyika Upya Jimbo La Hayati Ndugai Na Fomu Kutolewa Kwa Laki Tano

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu. Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo. Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
Back
Top Bottom