Hello fellas!
Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama.
Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.
Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya. Mfano mwezi huu kuna watu wamepata mshahara Jumamosi ya tarehe 21 na Ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa...
Moja kwa moja,
Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars.
Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran.
Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
Hebu tujaribu kuwakumbusha viongozi kuhusu kauli ambazo walikuwa wanaamini ni za kujenga lakini kwa namna moja au nyingine hazikuwahi kutekelezwa, au utekelezaji wake unasua sua
1. Marufuku ya kuosha magari kwenye barabara za lami kwamba ni chanzo cha uharibifu wa barabara
2. Marufuku bodaboda...
Habari za wakati huu wanajamiiforums!
Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.
Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!
Wengi wa...
HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA
(SERMON ON THE MOUNT)
Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima na hajawahi mtu yeyote katika biblia kutoa Hotuba kama ile kuanzia Mwanzo mpaka ufunuo hakuna...
Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii.
Ilikuwa ni jeuri...
Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali
Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu.
Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
Katika maisha yangu sijawahi kuona mtu amepona na kutolewa majini akiwa fresha and comfortable na kupona kabisa na majini yasirudi tena.
Nimeona tu Kuna Namna nyingi za kutoa majini na Mashetwani.. mosi ni kwa maombi ya wachungaji au manabii wa makanisa nimeona kwenye TV wakiwashika watu na...
Naomba kujuzwa suala hili?
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi.
Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.