hukumu

 1. J

  Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

  Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
 2. sajo

  Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

  Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
 3. Roving Journalist

  Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
 4. K

  Hukumu inasomwa mbele ya DPP, anatoka nje kuzungumza na waandishi na kueleza watuhumiwa walishaanza kutekeleza hukumu kabla haijasomwa

  Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine. Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo Jamhuri imeshinda. Nje ya Mahakama DPP anawaeleza waandishi kwamba watuhumiwa walishaanza kukabidhi...
 5. Kurzweil

  Uchambuzi wa Hukumu ya Kesi ya Tigo Vs Mwana FA na AY

  Uchambuzi huu ni kwa mujibu wa Wakili wa Mahakama Kuu, Hamza (jina la Twitter, @hamzaalbhanj) Kitu cha kwanza kufahamu hapa ni kitu kinaitwa jurisdiction". Hili neno limetawala sana kwenye hukumu ya Mahakama Kuu ya Mheshimiwa Jaji De Mello. Jursidiction ni ule uwezo wa Mahakama kusikiliza...
 6. V

  Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

  Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
 7. Maxence Melo

  Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

  Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
 8. mugah di mathew

  Kwa hukumu ya Leo kisutu kuna wanaJF roho zinawauma?

  Mahakama ya hakimu mkaazi kisutu imemwachia huru mkurugenzi wa jamiiforum bwana Max melo kutoka kwa kesi ya 2016 yenye mashitaka mawili ambayo kimsingi yaliamua Uhuru wa habari ndani ya JF. Kufuatia hukumu hiyo kutoa uhakika wa Uhuru wa habari na kutoa maoni ndani ya mtandao huu wa kizalendo...
 9. Roving Journalist

  KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

  Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
 10. N

  Hukumu ya kutawadha

  Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa: a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu 1. Kuswali Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5...
 11. J

  Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

  ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
 12. M

  Ni Mungu pekee ndiye hutoa haki na hukumu ya kweli na si mwanadamu

  Nimeamua kuwaelimisha watanzania walio wengi wanaojifanya kujisahaulisha kuhusiana na uwepo wa Mungu Kwanza naomba nimuonye mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli zake anapoomba kula kwa watanzania akidai atatenda haki. Pili nimpongeze Dkt. Magufuli kwa kauli zake za kumuogopa...
 13. B

  Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

  Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
 14. ROBERT HERIEL

  Hukumu za Watawala; mtawala yeyote asome hapa

  HUKUMU ZA WAFALME/RAIS Na, Robert Heriel Kuna mambo manne yanayomuongoza mfalme/rais katika kutoa hukumu. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Sheria za nchi (au imani kama taifa linaongozwa kidini) 2. Hekima/ Akili 3. Maslahi 4. Baraza la washauri Tangu zamani mambo hayo ndio humuongoza kiongozi...
 15. J

  Kamati ya maadili: Hukumu ya Halima Mdee wa Chadema kutolewa leo saa 7.00 mchana!

  Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha isiyofaa. Source Umoja Tv!
 16. Miss Zomboko

  Hukumu ya shambulio la Westgate 2013 yatarajiwa kutolewa leo kwa watuhumiwa waliohusika

  Hatma ya washukiwa wa shambulizi dhidi ya jengo la Westgate kujulikana Jumanne hii Hukumu ya washukiwa wa mlipuko wa kigaidi katika jengo kubwa la maduka la Westgate jijini Nairobi mwaka 2013 na kusababisha vifo vya watu 67 inatarajiwa kutolewa leo Jumanne baada ya kuahirishwa jana. Jaji...
 17. Securelens

  Kamati ya MaadiLissu amedanganya-alipokea barua na alitetewa na mawakili wake wawili. Hukumu si ya NEC ni ya vyama vyote vya siasa (Kamati ya Maadili)

  Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Taifa yabainisha uongo wa Tundu Lissu na kueleza yafuatayo: 1. Siyo NEC iliyompa adhabu kama anavyotangaza bali amepewa na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ambayo wajumbe wake ni vyama vyote 15 ikiwemo Chadema na 11 ya wajumbe hao wameona Tundu Lissu ana atia 2...
 18. M

  Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

  KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
 19. Mwanahabari Huru

  Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

  Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
 20. M

  Adhabu ya Tundu Lissu kuanza siku atakayopewa barua ya hukumu ya Tume

  Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu. Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act, [Cap. 89, R.E. 2002] kinasema hivi, "In computing the period of limitation prescribed for an...
Top Bottom