BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Tanzania imekuwa ikikabiliwa na tatizo la Upungufu wa Umeme karibia kila mwaka licha ya kuwepo ahadi za kuondokana na tatizo hilo mara kwa mara kutoka kwa Mamlaka na Viongozi wake
Kwa takriban miaka 6, Serikali imekuwa ikitaja mikakati ya kumaliza tatizo la Upungufu wa Umeme linalosababisha uwepo wa Mgawo wa Nishati hiyo lakini utekelezaji wake umekuwa na changamoto nyingi ikiwemo uzalishaji wake kwa kiasi kikubwa kutegemea zaidi Umeme wa Maji katika vyanzo vingi.
Kwa nyakati tofauti, waliowahi kuwa Viongozi Wakuu kutoka Wizara ya Nishati wakiwemo Mawaziri 3 (Prof. Sospeter Muhongo, Dkt. Medard Kalemani na Januari Makamba) na Mkurugenzi wa zamani wa TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba waliowahi kunukuliwa wakiahidi kuwa Tanzania itauza Umeme nje ya Nchi, ahadi ambayo imekuwa ikijirudia bila kuwa na matumaini ya kutimia
Viongozi waliowahi kuahidi kuwa Tanzania itaanza kuuza Umeme Nje ya Nchi ni wafuatao
Kumbukumbu za Ahadi za Kuuza Umeme Nje ya Nchi zilizowahi kutolewa na Viongozi Nchini
Julai 2013
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo aliahidi kuwa Nchi inajiandaa kuuza Umeme nje ya Nchi
Desemba 2014
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Felchesmi Mramba aliahidi kuwa
Julai 2016Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo
Februari 2020
Julai 2022
Aliyekuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba
Mei 2023

Septemba 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliahidi kuwa Serikali imedhamiria kuuza Umeme nje ya Nchi
Vipi Mdau, unadhani nini kifanyike katika Sekta ya Nishati ili kuondokana na Upungufu wa Umeme Nchini?

Julai 2016
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani