kufuzu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha timu yake kufuzu Olympic 2024, Paris

    Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris. Wadau hamjamboni nyote? Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la nchi hiyo na kuwa Staff Sergeant baada ya kuiwezesha timu yake kufuzu kushiriki mashindano ya Olympic...
  2. JF Toons

    Nani kufuzu nusu fainali leo kati ya Wananchi na Wenyenchi?

    Mtaniii, Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0! Yanga wapo...
  3. Movic Evara

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
  4. Teko Modise

    Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

    Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
  5. Mr Alpha

    Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa. Kama sio simba iliyo...
  6. PD_Magumba

    Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

    Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024. Musemaji wao anaropoka. Page zao zinaropoka tu. Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira. Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi...
  7. M

    Ahmed Ally: Kufuzu kwa Yanga ashukuriwe Mo Dewji

    Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba. “Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na...
  8. Zanzibar-ASP

    Yanga japokuwa wameshinda na kufuzu robo fainali, lakini kiwango bado kipo chini

    Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana. 1. Kuchelewa kuimaliza mechi...
  9. SAYVILLE

    Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  10. J

    Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali) Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa...
  11. Gordian Anduru

    Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  12. Vincenzo Jr

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  13. Gordian Anduru

    Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

    Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
  14. Nehemia Kilave

    Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

    Habari jf, Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki. Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi. Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia...
  15. J

    Yanga tufanye maandamano nchi nzima kusherekea kufuzu Makundi ya mabingwa

    Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki...
  16. Kilimbatzz

    Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

    Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani All the best Utabiri: Algers 1-2 Tanzania
  17. Shark

    Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

    #MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo, Tanzania, Niger & Eritrea. Michezo hiyo itaanza kuchezwa mwezi Novemba mwaka huu #KombeLaDuia #TaifaStars...
  18. AbaMukulu

    Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
  19. benzemah

    Rais Samia kununua kwa milioni 10 kila goli la Taifa Stars kufuzu AFCON

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imesema Rais Samia ameahidi kuanza kutoa...
Back
Top Bottom