JamiiForums Tanzania
Natabiri
Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉
Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉