kubali

Ərəb Qubalı (also, Ərəbqubalı, Arab-Kubali, Arabkubaly, Kubali, and Kubalikend) is a village and municipality in the Kurdamir Rayon of Azerbaijan.

View More On Wikipedia.org
  1. Wagumu Tunadumu

    Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, siku akikuchoka kubali kuachika siyo unakuwa king'ang'anizi

    Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako. Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
  2. Powell Gonzalez

    Hawa ndio wahusika niliwahi kuwa kubali zaidi kwenye Movies/simulizi

    Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo: 1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist Jamaa ana calmness, man of action, genius na yupo very cold. 2. Tommy shelby - peaky blinders Huu ni mwamba...
  3. Da'Vinci

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Salute.... Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa na mahusiano. Let's dive in.... Kwa kipindi zaidi ya mwaka humu Jf kumekua na movement ya kijinga...
  4. B

    Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  6. M

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa...
  7. Intelligent businessman

    Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

    Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu. 👉 Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao. WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake. 👉Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki...
  8. Mto Songwe

    Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika(Tanzania) kubali kuwa mjinga

    Kuna mdau mmoja katika moja ya nyuzi zangu ali comment hivi "Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika kubali kuwa mjinga". Yule member alikuwa sahihi kabisa ukitaka kuishi kwa furaha Afrika mfano Tanzania kubali kuwa mjinga. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha Afrika hasa kusini mwa...
  9. Dr Count Capone

    Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
  10. Shemasi Jimmy

    Kubali kuandaliwa

    Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Halleluja watu wa Mungu, maandiko yanasema apendaye mafundisho hupenda maarifa, karibu tujifunze kwani elimu haina mwisho. Leo tutajifunza kwa habri ya kukubali kukaa chini ya mchakato au maandalizi katika kuelekea hatima ya ndoto zako huku tukimtazama Yusufu...
  11. S

    Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

    Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo? Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu. Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
  13. Mganguzi

    Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

    Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
  14. Richard

    Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  15. Rashda Zunde

    Kuna vitu muhimu zaidi kuliko Katiba, kubali au kataa

    Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba. Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba? Hivi mnahisi...
  16. K

    Spika fuata sheria kwenye suala la Halima Mdee na wenzake

    Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza. Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato. Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho...
  17. JanguKamaJangu

    Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  18. S

    Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  19. Zanzibar-ASP

    Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali! Bila kumumunya maneno...
  20. chizcom

    Ukiona wote mnafanya biashara inayofanana sehemu moja kubali haya...

    Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama...
Back
Top Bottom