bikra

 1. THE LOST

  TANZIA Padri Baptist Mapunda afariki dunia kwa ajali ya gari

  Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo. Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
 2. Jokajeusi

  Jinsi wanawake bikra wanavyopungua ndivyo harusi na ndoa zinavyopungua

  Igweeeee! Poleni na Msiba mzito, haya bila kupoteza muda niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Wanawake wa siku hizi wanamsemo wao usemao; siku hizi hakuna waoaji' wakimaanisha wanaume wa siku hizi ni chapa ilale. Hawajiulizi ni kwa nini siku hizi hakuna waoaji wao...
 3. Jokajeusi

  Kama hukumkuta bikra huyo sio mumeo ama mkeo

  Wakuu Kwema! Mara kwa mara nimekuwa nikihamasisha vijana humu kuwa wasioe wanawake wasio na bikra kwani hao sio wake zao. Pia mwanamke usikubali kuolewa na mwanaume ambaye hajaitoa bikra yako, huyo sio mumeo. Huyo sio mkeo kama hukukuta bikra na wala hukuitoa. Huyo ni mke wa uzinzi, na lazima...
 4. lup

  Waliooa wake ambao sio bikra je anayoyasema ndugu Jokajeusi ni sawa yanawakuta huko kwenu?

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , naomba waliooa au kuolewa bila bikra waje hapa watupe ushuhuda wao kwa sisi vijana kama kweli ndugu Jokajeusi anayoyasema yanawatokea. Mfanowewe mwanamke ulishawhi kumsaliti mmeo kwa aliyekutoa bikra? Kwa uliyeoa ambaye sio bikra ulishawahi kuhisi kitu...
 5. lup

  Kuoa mwanamke bikra sio kinga ya mkeo kutokukusaliti kwa kajamaa ka nje kwa dunia ya leo

  Kuna upepo ambao unaendelea sana kwenye vichwa vya vijana wengi kwamba ukipata mwanamke ambaye ni bikra baasi wewe jua umebakiza kasoro ndogo ndogo na sio ile kubwa ya kusalitiwa hivyo unanyoosha minguu ukijiamini kwamba hata iweje baasi mkeo atakusubuli wewe tu. Rafiki yangu sio kweli, kumbuka...
 6. lup

  Walioa wake zao ni mabkra siku ukijua amegongwa na jamaa utaumia sana kuliko ambaye alimkuta sio bikra

  kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kweli Mungu saidia umemenya tunda mwenyewe halafu ukajiamini kuwa mkeo hawawezi kukusaliti... mara ghafla unagundua kuna kajamaa tu hapo jirani tena kabeki tatu anapoendea maziwa ya chai asubuhi tena ndio kalisha ng'ombe hapo huwa kanatoka na mkeo hali wewe...
 7. Jokajeusi

  Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

  Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
 8. Jokajeusi

  Wewe ndiye mchepuko wa mkeo kama hukumkuta Bikra

  Habari Wakuu! Huu ndio ukweli mchungu, utake usitake. Kama hukumkuta mkeo akiwa na bikra basi tambua wazi kuwa wewe ndio mchepuko wa huyo unayemuona na kumuita mkeo. Baadhi ya wanaume hulalamika na kuona uchungu wakisikia wake zao wanachepuka kwingine, wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukishaoa...
 9. Jokajeusi

  Madhara makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra

  Wakuu habari! Jambo hili nimelivalia njuga na naona matunda yake yanaanza kuonekana, nafikiri nikiendelea hivi kwa mfululizo wa miaka mitano kwa kiasi kikubwa jamii itarudi kwenye mstari. Moja ya matokeo chanya katika nyuzi zangu za ubikra ni kuwa wale walioolewa bila ya bikra na wale ambao...
 10. Jokajeusi

  Aina za Bikra kwa mwanamke, na umuhimu wake

  Wakuu kwema. Watu wengi huniona mtu wa ajabu ninapozungumza habari za Bikra kwa mwanamke na umuhimu wake kwenye ndoa. Wapo wanaoniona limbukeni na mshamba lakini siwalaumu kwa sababu najua hawana uelewa na Saikolojia ya mwanamke au binadamu kwa ujumla. Kwa kuzingatia maana ya msingi, Bikra ni...
 11. Jokajeusi

  Wake za watu huchepuka kwani wengi hawakuolewa na bikra

  Wakuu kwema! Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja. Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake...
 12. Jokajeusi

  Shikamoo wanawake wote Mlioolewa mkiwa na Bikra

  Kwemaa! Shikamoo Wanawake Mlioolewa Bikra, Heshima zangu zote nawapa ninyi, hakika tuliobahatika kuwaoa ninyi pepo tunailia duniani. Hapa duniani moja ya vitu vya thamani ambavyo ni binadamu wachache wamebahatika kuvipata ni pamoja na kuoa mwanamke unayempenda alafu ukamkuta Bikra. Nani...
 13. Jokajeusi

  Inakuwaje ukose vyote?

  Wakuu mpooo! Niliusiwa na wazazi wangu mambo makuu mawili katika kuchagua mke 1. Nisichague mwanamke asiye na bikra 2. Nisioe mwanamke masikini` Kiufupi sijawahi kuwa na mwanamke hohe hahe. Sijawahi kujuta kwenye mapenzi. Wanawake wenye pesa hawana mambo ya kiswahili, wanapenda kweli...
 14. Jokajeusi

  Nazidi kuthibitisha mwanamke bikra ndiye Mke bora

  Habari Wakuu! Tangu nijiunge humu JF nimekuwa nikiwapigia chapuo wanawake wenye bikra ndio wake bora. Asilimia 90% ya wanaume tuliooa wanawake wenye bikra hatuna kesi za ajabu ajabu ndani ya ndoa. Wanawawe sio malaya, wanaadabu, hawana tamaa ya hovyo hovyo. Wakati 10% iliyobakia ya waliooa...
 15. Zigidii

  Ukitaka kuoa tafuta bikra

  Ni ushauri kwa vijana wenzangu wanaofikiria kuoa.Kumbuka mwanamke huwa sio rahisi kumsahau mtu aliyewahi kushiriki naye tendo la ndoa. Hivyo akikutana na mtu aliyewahi kushiriki naye tendo. Ni rahisi Sana kuchepuka bila ya kujali yupo kwenye ndoa. Ili kuondokana na hii adha ni kutafuta...
 16. yuzazifu

  Haya ndo makundi yanayoongoza "kuchakata" bikra

  Wakuu natumai hamjambo, Wanaume wengi hua na ndoto yakuchakata bikra but wengi hawafanikiwi coz hawapo katika makundi ambayo ndo yanaongoza kwa utoaji bikra. Haya ndo makundi yanayoongoza kuchakata bikra hivyo kama haupo kwenye list ni nadra sana kuchakata bikra mpaka itokee bahati ya mtende...
 17. jaji mfawidhi

  Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

  Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra? Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha? Unakumbuka ilikuwa ni wapi? Je, siku ya kwanza kufanya na mumeo wa sasa, alikuuliza kuhusu nani kakutoa bikra? Je, ukimkumbuka na siku mkikutana...
 18. FRANCIS DA DON

  Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

  Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana. Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
 19. Analogia Malenga

  Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

  Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra. Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke. Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
 20. Analogia Malenga

  Binti wa miaka 19 auza bikra yake kwa bilioni 3

  Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara Ubikira wake ulithibitishwa na...
Top Bottom