makinikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Makinikia kwa wachimbaji wa dhahabu

    Aina ya jiolojia MAGNETITE GRANITOIDE META SEDIMENTARY COMPLEX mara nyingi uleta changamoto kwa wachimbaji wengi wadogo wa madini na ujikuta wakati mgumu katika uchimbaji wa kutafuta madini. muelekeo wake wakupata viashiria vyake ambavyo utokea kwenye Magnitite. je Magnitite ni nini ...
  2. matunduizi

    Yanga walitakiwa kutumia mbinu aliyotumia Hayati Magufuli kwenye Makinikia

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini. Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
  3. The Inspire55

    Uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu

    Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara. changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
  4. MakinikiA

    Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

    On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup. Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN . Wapumbavu sana wote...
  5. R

    Hivi nani anayeweza kuamini kwamba katika kipindi cha 1998-2017 tulistahili bilioni 700 tu katika makinikia?

    Habari wana JF, nimeipitia hii ripoti kwa umakini nlichogundua ni kweli kuna uwezekano mkubwa data zilikuwa zinaongezwa kidogo tukawa hatustahili 360 trilioni ,Lakino ukichukulia makinikia haiwi na thahabu tu bali kuna madini mengine pia bilioni 700 inafikirisha. Lakini pia kwa watu ambao...
  6. S

    Fatma Karume: Walioanda zile fraudulent report za Makinikia ni watu evil

    Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI Msome hapa: Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa. Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2...
  7. M

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  8. saidoo25

    Trilioni za makinikia pasua kichwa

    Mwanza. Swali la Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina limewasha upya moto wa ahadi ya malipo ya mabilioni ya shilingi kutokana na malimbikizo ya kodi kutoka kampuni ya Barrick Gold. Maswali ya waziri huyo wa zamani wa mifugo na uvuvi bungeni, yameibua mjadala uliolenga kupata majibu ya Serikali...
  9. Mmawia

    Hayati Dkt. Magufuli alijua makinikia ulikuwa 'mziki mnene' kwake

    Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimya kimya. Lakini bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.
  10. Mpinzire

    Sakata la Makinikia linatuonesha Watanzania tusivyo wamoja

    Asalaam Alyekum Ndugu zangu Watanzania! Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu Watanzania! Kwanza nitaanza kurejea mgogorowa IPTL na Serikali juu ya Escrow Account, nakumbuka vyema jinsi Serikali ya Rais Kikwete ikivyojitahidi kusimama upande wa IPTL na kusisitiza zaidi kuwa Serikali haikuwa na hela...
  11. Idugunde

    Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  12. M

    Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095. Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Makinikia yaibukia tena bungeni

    Makinikia yaibukia tena bungeni THURSDAY SEPTEMBER 22 2022 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba Summary Sakata la makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Sh700 bilioni zilizotokana na kesi za malimbikizo ya...
  14. BARD AI

    Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

    Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania. Mpina amehoji swali hilo la...
  15. J

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  16. J

    Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  17. B

    Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  18. Nyendo

    Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali. Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
  19. Stuxnet

    Funzo Kutoka CAG Report ya ATCL: Profesa Mruma Awasilshe Upya Ripoti Ya Makinikia

    Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko...
  20. M

    Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
Back
Top Bottom