Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala.
Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi.
Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika.
Mimi...
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.
"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake...
Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye...
“Kuna siku nishamkuta dada angu kainamishwa na msela akiwekewa mpini ile kitu sijawahi kuheal mpaka leo bahati nzuri ndo kamuoa kubabeki siendagi kwao kabisa 😂👨👩👧👦👨👩👧👦👨👩👧👦”
Oyaaah acha kabisa, wenye dada....
Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl.
Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu.
Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili...
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.
Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni.
Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....
Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....
Hahaha sifungui hata ajira Portal.....
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.
Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo...
Sijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza.
Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.