Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,284
20231028_075243.jpg

Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".

Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani kutazama mechi hiyo ambapo klabu ya Liverpool ilikuwa ikikabiliana na klabu ya Toulouse kutoka nchini Ufaransa. Shabiki huyo amenukuliwa akilalamika kitendo hicho kupitia mtandao wa X na kuhoji kwa nini klabu hiyo iliruhusu watu kuingia na bendera za Ukraine na mabango yaliyoashiria kuiunga mkono Ukraine ilipofanyiwa uvamizi na Russia. Mpaka sasa klabu ya Liverpool haijatoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo.

===

Last night the club that I’ve adored since I was 5 has broken me, everything I thought we stood for felt like a farce so much for YNWA and freedom of speech, I travel up 3 hours every home game even when I can’t get a ticket just to be in the city for game…

At this moment of time I feel like never coming back, all I did was show solidarity to my people who have and are being killed every day for many decades now, in no way does the Palestine flag represent what Hamas did the other week neither do I commend it…

I found it really odd our fans were allowed to stand with Ukraine and bring those flags in, as well as club itself selling LFC X Ukraine merchandise in the club shop but when I held up a Palestine flag during YNWA a bunch of stewards rushed me like I had a weapon on me?.

When I was escorted out the flag was grabbed out of my hand and was told to take the hoodie off or leave the club? Police were then involved and my details and seat number was taken and was told to collect my stuff at the end of the game…

I was then taken back to my seat in that freezing weather with a t shirt on, I did have another two flags on me which I decided against getting out as the whole situation left a sour taste in my mouth I just wanted the game to be over with so I could get the coach home…

However what hurt the most was the fact not single fellow Liverpool fan tried to intervene or help me fight my case but happily watched, I asked the guy next to me if he wanted to hold the flag with me and he looked at me like I called him the most derogatory name possible?
 
Mimi hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam duniani. Yeye kaandika free palestina. Hakuandika free Hamas. Inaama kwao kila Palestina ni adui . Mwanzo humu jf tuliambiwa hamas kumbe sasa Palestina wote.
Hivi vita ni vya kidini
 
Hatu-support utekaji nyara wala mambo ya kisiasa..

mpirani ni sehemu ya burudani na kujenga urafiki siyo maombolezo na kujihusisha na vita vya watekaji (Hamas)
 
View attachment 2795298
Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".

Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani kutazama mechi hiyo ambapo klabu ya Liverpool ilikuwa ikikabiliana na klabu ya Toulouse kutoka nchini Ufaransa. Shabiki huyo amenukuliwa akilalamika kitendo hicho kupitia mtandao wa X na kuhoji kwa nini klabu hiyo iliruhusu watu kuingia na bendera za Ukraine na mabango yaliyoashiria kuiunga mkono Ukraine ilipofanyiwa uvamizi na Russia. Mpaka sasa klabu ya Liverpool haijatoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo.

===

Last night the club that I’ve adored since I was 5 has broken me, everything I thought we stood for felt like a farce so much for YNWA and freedom of speech, I travel up 3 hours every home game even when I can’t get a ticket just to be in the city for game…

At this moment of time I feel like never coming back, all I did was show solidarity to my people who have and are being killed every day for many decades now, in no way does the Palestine flag represent what Hamas did the other week neither do I commend it…

I found it really odd our fans were allowed to stand with Ukraine and bring those flags in, as well as club itself selling LFC X Ukraine merchandise in the club shop but when I held up a Palestine flag during YNWA a bunch of stewards rushed me like I had a weapon on me?.

When I was escorted out the flag was grabbed out of my hand and was told to take the hoodie off or leave the club? Police were then involved and my details and seat number was taken and was told to collect my stuff at the end of the game…

I was then taken back to my seat in that freezing weather with a t shirt on, I did have another two flags on me which I decided against getting out as the whole situation left a sour taste in my mouth I just wanted the game to be over with so I could get the coach home…

However what hurt the most was the fact not single fellow Liverpool fan tried to intervene or help me fight my case but happily watched, I asked the guy next to me if he wanted to hold the flag with me and he looked at me like I called him the most derogatory name possible?
kama wao wanavyobagua wazungu huko mashariki ya kati , inabidi waafrika na jamii nyingine tuanze wabagua , hawa waarab wanadhamin vita nying afrika na silaha nying za waasi zinapitia kwao ndo zinaingizwa afrika , ila waafrika wajinga wanwashabiki , WAUANE TU
 
Mhariri wa gazeti la Rai al Yaum amesema kuwa kinyume na dhana ya viongozi wa utawala ghasibu unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu, wanamapambano huko Ukanda wa Ghaza wameugeuza mwenendo wa historia kwa utawala huo.

Wanamapambano wa Palestina tarehe 15 mwezi Mehr kwa mujibu wa kalenda ya Iran iliyosadifiana na Oktoba 7 ,2023 walianzisha oparesheni ya kushtukiza kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" kuanzia Ghaza (Kusini mwa Palestina) dhidi ya ngome na kambi za Tel Aviv; ambapo utawala wa Kizayuni sasa umefunga vivuko vyote vya Ukanda wa Ghaza huku ukiendelea kushambulia eneo hilo ili kulipiza kisasi na kufidia kipigo ilichopata na eti ili kusitisha oparesheni hiyo ya wanamuqawama wa Palestina.
 
Kwa sababu ya waislam tu. Mbona pro ukrain hawatewi?
Lini uliona Ukraine wakaingia Russia kuteka nyara raia na kuwaua...

Achana na hayo mambo eti, acha sisi tuendelee na mchezo wetu football na wao waendelee na wao terrorism kila mtu na a-enjoy wake ila tusiingiliane wa huku asiingie huko na wa huko asiingie huku 🤝🤝
 
Vita ni vita tu. Wewe utakuwa dog wa kiyahydi
 
Lini uliona Ukraine wakaingia Russia kuteka nyara raia na kuwaua...

Achana na hayo mambo eti, acha sisi tuendelee na mchezo wetu football na wao waendelee na wao terrorism kila mtu na a-enjoy wake ila tusiingiliane wa huku asiingie huko na wa huko asiingie huku 🤝🤝
Sema 90% ya Ukran ni wakiristo ndio maana unatetea
 
Ila free Ukraine, slava ukraini ilikuwa ni sawa tu.

Ndio ajue dunia inakwenda vile mabwana wakubwa wanataka , utasikia, utakaiona kile ambacho wao wanataka na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom