shabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Kumbe Vale Nafaka ni Shabiki wa Arsenal.

    Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL. Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal. Si mwengine bali ni Valentina Gabriel al maarufu Vale nafaka nembo ya taifa mrembo wa taifa binti mrembo mwenye uzuri...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiki maarufu ‘Lumumba Vea’ akwama kusafiri kuiashangilia DRC kwa matatizo ya visa

    Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya taifa, baada ya kunyimwa viza. Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 53 alijitokeza hadharani kwa...
  3. PLOII

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ni timu yetu Fahari yetu; Nina Tickets 1000 Shabiki wa Stars DM nikutumie plus usafiri upo

    Hello Taifa Stars Fans ! Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024. Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia. Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shabiki wa Simba adai App ya klabu imejam wakisubiri utambulisho wa mchezaji

    Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba ajinyonga..mwendelezo WA kuji....

    HII HALI SIO YA KUAKAA KIMYA TUENDELEE NA MAOMBI WAPENDWA SHABAIKI WA SIMBA WAMEMPUMZISHA KAJINYONGA TAR 17 RIP SHABIKI
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu hapa JF hivi huyu Shabiki Mandala siyo 'Pancha' kweli?

    Kila Siku ninavyozidi kumtizama katika Mitandao mbali mbali naona kama vile simwelewi na kama vile ni Pancha Kubwa.
  7. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kuna shabiki wa mpira hapokei simu

    Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wabunge mashabiki wa Yanga wasema 'Hatuchezi' akitambulishwa Hersi Bungeni

    Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Mi ningekuwa shabiki wa arsenal hata nisingehangaika kuangalia maana hakuna mahala wanakwenda

    ,🤣 Active nipigwe ban ya mwezi kama asenyo akienda fainali
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe, Shabiki Simba maarufu kama ‘Dokta Moo’ wapigwa faini ya shilingi milioni tano, Ahmed Ally aponea chupuchupu

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemkuta na hatia shabiki wa Simba Mohamed Khamis Mohamed maarufu kama ‘Dokta Moo’ aliyeshtakiwa na Sekretarieti ya TFF akituhumiwa kwa kosa la kuchochea umma kwa ujumla kinyume na Kanuni 73(4) ya Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la...
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Huyu shabiki wa Esperance aliyeokolewa na shabiki wa Mamelod ingekuwa taifa Yanga walivyo na roho mbaya angekufa

    Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika mashabiki wenye roho mbaya wa kitanzania hususani wa yanga wasivyo na utu wanakuacha au wanakusukumiza...
  12. Geranimo E K I A

    JamiiForums Tanzania Oneni huyu shabiki wa nyuma mwiko alichowaandikia Al masry.

  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi Mkuu wa Taifa lolote lile ni Shabiki Nusu Liverpool na Shabiki Nusu Manchester United jua yafuatayo...

    1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
  15. Full charge

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Fountain Gate: Mimi ni shabiki wa Simba, asema mechi ya leo ni kuonana kwa Simba na Simba

    Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie. "Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
  18. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  19. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

    Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

    Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa jinga).
Back
Top Bottom