ugenini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  2. Movic Evara

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
  3. Teko Modise

    Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

    Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
  4. S

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana, Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
  5. w0rM

    Wenzetu mnaosafiri nje ya Tanzania mmewahi kukutana na tangazo letu kama hili huko?

    Habari WanaJF, Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi? Nawaza...
  6. Mhafidhina07

    Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
  7. GENTAMYCINE

    Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC...
  8. Teslarati

    Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

    Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia. Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa ana hela kinoma, mke aliomuoa kwa ndoa ya mapepe mengi akamwomba amfungulie biashara huku yeye...
  9. M

    Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

    Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!! Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
  10. S

    Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  11. C

    Tunaposema kuwa mechi zetu muhimu ni za Dar tu kwahiyo zote za ugenini tunaenda kugawa points za bure?

    Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa kushinda mechi za ugenini tofauti na timu nyingine ikilengwa simba sc ambayo haina rekodi hiyo kivile japo...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  13. Eli Cohen

    Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  14. S

    2nd Leg Al Ahly v/s Simba SC, Goli la Ugenini Halihesabiki

    Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio ishu tena. Wawili hao walipelekeana moto kwa sare ya 2-2 katika dimba la Benjamin Mkapa huku wengi...
  15. Teko Modise

    Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  16. GENTAMYCINE

    Kumbe hata tukiwa Ugenini Kigali Rwanda bado tunaendeleza yale Masharti yetu ya Mganga wa Mtwara?

    Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
  17. Chizi Maarifa

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia uwapo Ugenini?

    Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze. 1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza. Njemba alienda ukweni akagonga...
  18. Mdigokhan

    Nilitiwa aibu ugenini sitasahau

    Bwana miaka ya nyuma Nikiwa zangu Tanga nishamaliza masomo afu nishafeli sielewi elewi kila kazi ninayofanya inagoma Nikaona ni vyema niongee na mama angu Ili nije dar kutafuta maisha. Mama akaona nikija Dar ovyo ovyo nitakuwa TEJA ivo alimpigia simu kaka yake ambae mimi ni anko wangu na...
  19. R-K-O

    Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

    Nakumbuka hapo miaka ya 2015 niliwahi kwenda ugenini siku 3 hivi kuufatilia mambo yangu, ilinibidi niende kwa mjomba wangu alieniasa niende kwake. Sasa tatizo nililokuwa nalo enzo hizo kinyesi changu kilikuwa kinanuka sana, yani nikitoka huko chooni ni kunanuka si kidogo, nilikuwa nakula...
  20. S

    Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

    Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga. Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
Back
Top Bottom