• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

onyo

 1. Erythrocyte

  Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

  Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi . Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
 2. beth

  Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
 3. miss zomboko

  Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

  Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
 4. elivina shambuni

  CCM wampa onyo Benard Membe

  Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Onyo hilo limetolewa leo na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Konani kinachorushwa na Kituo cha ITV kupitia mitandao yao ya kijamii. Dk. Bashiru...
 5. miss zomboko

  Katibu Mkuu wa CCM atoa onyo kwa Membe akimtaka kutokuwa juu ya katiba ya chama

  Bernard Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati...
 6. Kaka Pekee

  Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

  Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Top