wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati Usioyumba: Maria Sarungi na Kivuli cha Tundu Lissu wa Zamani. Nini Hatma ya Mapambano Haya?

    Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #16 & #17

    Vitabu vya dini ni mkusanyiko wa maandiko ya kale kuhusiana na eneo hilo maalumu na maisha ya viumbe wa awali halali wa eneo hilo. Maandiko hayo ya kale yalieleza wazi na hatua za moja kwa moja ili jambo flani kuwa bayana. Vitabu vya dini sasa vimeandika kwa usahihi mkubwa sana maadili ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #1-#15

    Vitabu vya dini ni maandiko yanayo fundisha elimu au maarifa ya kiroho, maandiko haya siyo ya kuzuka au kutungwa bali yana chanzo chake. Zamani za kale watu pamoja na mambo yote walifanikiwa kutunza mafundisho na maadili ya kiroho kwa namna nyingi kama vile simulizi na hata maandiko. Watu wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wokovu wa zamani vs wasasa

    Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege. Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati tukiwa safarini kutoka kwenye hosteli kwenda ukumbini, kuna kitu nilijifunza Nikamuuliza mama mmoja mtu...
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

    Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🤣🤣 Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la bia😅. Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen z😅. Tofauti na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mcongoman na Kiungo wa Zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mkewe mbongo

    Tonnombe Mukoko aliyewahi kukipiga na Yanga atapeliwa nyumba na mkewe mrembo wa kibongo ajulikanae kwa jina la Trish. Tonnombe Mukoko alimuoa huyo dada pisi Kali kipindi anacheza Yanga na ndoa yao ilifungwa Congo. Kiungo huyo alipokea offer ya kucheza Libya iliyomfanya awe mbali na mkewe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

    Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo. Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
  8. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  9. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitume wa zamani ni Wayahudi, Wazungu na Muarabu mmoja tu?

  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  12. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni

    Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa harakati za ukombozi wa Namibia kupitia chama cha SWAPO. Katika ziara hiyo ya kipekee iliyochanganya...
  14. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile. Kwa upande mwingine, wasanii wa...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
  16. Soul21

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Zamani hawataki kubadilika kuendana na mtaala mpya.

    Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji. Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu. Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Waziri wa zamani ahukumiwa miaka 5 jela kwa wizi wa fedha

    Waziri wa zamani wa serikali nchini Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za umma, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulioshuhudiwa na shirika la habari la AFP Machi 27, 2026 Uamuzi huo unafuatia kesi ya awali ambapo watumishi wanne wa umma kutoka...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
Back
Top Bottom