Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga.
.
Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia.
Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
Natumai huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu huku mkinzigatia nature na life la kiturist.
Moja kwa moja kwenye mada, Inawezekanaje Leseni ya Udereva ya Tanzania inayotambulika na SADC kutumika Nchi za East Africa na Nchi za pembeni haitambuliki Zanzibar? Au sijaelewa vizuri...
Najua na natambua jinsi mambo haya yalivyo tayari. Nilishajiandaa kitambo
Sihitaji changamoto zaidi.. Eeh mola wangu nisaidie🙏🏿
Nipe jioni laini, tamu kama chokoleti.
Nipe usiku tulivu na usingizi mnono kama wa mtoto
Nipe ndoto nzuri ili usiku wangu uonekane umevaliwa kama pamba ama sufi...
Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole.
Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna...
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
No reforms no election.
Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.
Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo...
ASILI ni mafumbo.
Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi.
Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea!
Usijari solution yake ni! (KIKUNTI)
Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani
https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu!
Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa.
Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini.
Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I
Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend.
Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.