ustawi

Chama cha Haki na Usitawi (CHAUSTA) is a political party in Tanzania. The party was registered on 15 November 2001. Its founder and current chairman is James Mapalala, a former national chairman of the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Kaya 4,900 zanufaika katika Mpango wa Kuinua Ustawi wa Wananchi Jimbo la Chaani Mahonda, Kaskazini Unguja

    Mbunge wa Jimbo la Chaani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, amesema juhudi za kuboresha ustawi wa wananchi na kupunguza changamoto za kiuchumi zimeendelea kuwa miongoni mwa vipaumbele katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kuhusu ufadhili wa masomo kwa watumishi wa afya kupitia mradi wa Beginning Fund mwaka wa fedha 2026/2027

    Kuna barua inayosambaa kutoka Wizara ya Afya ikionesha uwepo wa ufadhili wa masomo kwa watumishi wenye Diploma kupitia mradi wa Beginning Fund kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Cha kusikitisha ni kwamba kwa upande wa wauguzi, ufadhili huo umeelekezwa zaidi kwenye ngazi ya Higher Diploma, ambayo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ustawi wa Jamii wananyanyasa wanafunzi waliopungukiwa ada

    Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam. Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester. Sasa, mimi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Athari za Kauli za Hadhara katika Ustawi wa Demokrasia

    Katika nadharia ya sayansi ya siasa, uwepo wa uwanja sawa wa ushindani (level playing field) ndio nguzo kuu inayotofautisha mifumo ya kidemokrasia na ile ya kimamlaka (authoritarianism). Kauli ya Mary Pius Chatanda (Mwenyekiti wa UWT ) inatoa picha ya kile wataalamu wanachoita "ustahimilivu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya muundo wa ustawi wa jamii ndani ya halmashauri

    Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rombo: Kitengo cha Ustawi kina hali mbaya

    Maafisa Ustawi Kila siku wanatishiwa kuhamishwa na Katibu wa Idara ya Afya bila sababu za kueleweka. Sijui yeye ana hayo Mamlaka ya kumhamisha Mtumishi maana hata kwenye Mfumo wa PEPMIS amewapanga vituo vya afya (bila kupewa barua zozote) ambako wanalazimishwa kwenda kukusanya mapato utadhani...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

    MEI MOSI 2026📌 💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi. 💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tusione haya kukifutia usajili chama chochote cha siasa kitacho bainika kuwa kinahujumu ustawi wa Taifa letu huu utakuwa ushindi dhidi ya mabeberu

    Kama Taifa tusimame imara zaidi ya miaka yote dhidi ya waharibifu wote wa amani ya Taifa letu, asiwepo mtu/chama CHA siasa atakayefanya/sababisha vurugu akabaki salama. Kwenye hili tuwe WAKALI HASWA! Hivyo basi tusione haya kukifutia usajili chama chochote cha siasa kitakacho bainika kuwa...
  10. Seran

    JamiiForums Tanzania Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  11. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Tanzania (Tanganyika) tumekubali Samia kupendelea kuharibu ustawi wa nchi yetu kwa maslahi yake binafsi?

    Sote tumeona na kushuhudia kwa maneno na matendo yake akiharibu hii nchi kwa kila namna anapopata nafasi, na kila akipata nafasi ya kuongea na tukifikiri atajirekebisha bali amekua ni mtu wa kuvuruga nchi yetu zaidi na zaidi. Samia hana uzalendo, huruma, uchungu wa aina yeyote kwa watanganyika...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo

    #Matukiokatikapicha Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo Mchana, Makao ya Watoto na Nyumba Salama ikiwa ni...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  20. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
Back
Top Bottom