mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbwa koko machakos - Seneta Kavindu Aibua Tishio la Mbwa Waliopotea Syokimau

    Seneta wa Machakos, Agnes Kavindu, ameiomba Kamati ya Kudumu ya Seneti kuhusu Afya kutoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mbwa wanaozurura bila wenyewe katika eneo la Syokimau, Machakos County. Akirejelea tukio la Agosti 25, 2026 ambapo kijana mmoja alidaiwa kushambuliwa na mbwa watatu...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na mashtaka ya kufanya Ngono na mbwa

    Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana kugundua video ya kamera za usalama ikimuonyesha akifanya kitendo hicho na mbwa wao wa familia aitwaye...
  3. 2018

    JamiiForums Tanzania Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Taifa

    Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi. Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  8. AVIETA

    JamiiForums Tanzania Kitoto cha mbwa miezi mitatu

    Habari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
  9. R

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

    Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tunaposema wengi wa wana harakati ni mbwa mwitu tuwe tunaeleweka,they are in business!

    Wamepunguza main pressure sasa wanataka wa SA watulie kwanza kwa kanuni nyingine mpya zenye wingi wa upole huku wakiwa tayari wamefanikisha yao!
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Maisha ni haya haya

    Najua shida ni sehemu ya maisha ila muda mwingine, tufanye kuweka shida chini, halafu mikono juu, maisha ni haya haya tu🍻🍻🍻🍻🍻
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  14. F

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama simba mzee, hana rafiki na mwishowe huuwawa na mbwa mwitu

    Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho. CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  16. Marcy

    JamiiForums Tanzania Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

    Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha Walevi tupeni siri
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kula nyama ya mbwa wakaanza Kuiga tabia za mbwa

    Weekend tarehe 23 iliyopita nilitembelea sehemu moja karibu na mji wa kupang ila ni vijiji vya nchi ya Timor-Leste nikiwa na rafiki yangu kwao palikuwa na kama kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha babu yake nikamsindikiza kuna tukio moja liliniacha na maswali mengi sana kuhusu mambo ya...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi Waafrika tusitafute breed ya mbwa koko na mbwa mwitu?

    Wajerumani walifanikisha breed ya GS kutoka mbwa wa kawaida na wolf (mbweha), kwanini sisi waafrika tusitafute breed ya mbwa koko na mbwa mwitu? Ni aina ya mbwa ambao wako loyal sana kwa wenzao, pia ni wawindaji wasiokata tamaa ila atafaa kww ulinzi kutokana na asili yake ya mwituni.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane wanaume siyo mbwa na wanawake si chuma ulete kwenye mahusiano

    Wakuu habari, Kuna jambo nimeliwaza, kama binadamu tuna mema na madhaifu, kila mmoja wetu ana uwezo katika jambo fulani na ni dhaifu upande mwingine na hii ndiyo sababu ya kuumbwa kwa kutegemeana. Mara nyingi kinachotushinda kwenye mahusiano na kupelekea kuitana majina mabouvu ya fedhea ni...
Back
Top Bottom